tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Unamfahamu rais wa Botswana? Botswana ni nchi hii ilioko Kusini mwa Afrika, haina bandari na ina idadi ya watu zaidi ya milioni mbili unusu. Zaidi nchi ndiyo inazalisha almasi kwa wingi barani Afrika ikiwa na karati milioni 25 kwa mwaka. Rais wa taifa hilo ni Duma Boko ambaye aliingia madarakani baada ya uchaguzi wa 2024.
Soma pia: Rais mpya wa Botswana, Duma Boko kuwapa wahamiaji kutoka Zimbabwe vibali vya muda vya kazi na makazi
Soma pia: Rais mpya wa Botswana, Duma Boko kuwapa wahamiaji kutoka Zimbabwe vibali vya muda vya kazi na makazi