Ndipo ki nini?Yes hakika MH. MBARAWA anajua anachokifanya kiukweli ni mchapa kazi na yuko makini sana binafsi namkubali kwa uchapakazi wake.................
Huyu hadi sasa mimi nampa 8/10 kati ya Mawaziri wote wa Magufuli. Maana anajua anachokifanya. Wengine wanafanya kwa mihemko, kukurupuka na sifa. Hao nawapa 3/10.
Kumbe Fatma Karume ni mwanachama wa CUF? Kwa hiyo mtu na mjomba wake wanaweza kuwa chaguo la CUF?Ila inawezekana kwa maana babu Duni ameshawekwa njia pandaIngekua CCM Znz wanajua kucheza karata zao vizuri basi huyu jamaa ndie alikua awe Makamo wa Rais wa znz, sio sefu iddi ambaye ameshachoka na mawazo ya kizamani .
huyu angeleta upinzani kweli 2020 hasa ikichukuliwa CUF wanaweza kumuweka Mansour au Fatma Karume Kugombea badala ya Maalim kutokana na umri
Kweli anastahili lakini hila Professor Muhongo yupo vizuri sana.Huyu hadi sasa mimi nampa 8/10 kati ya Mawaziri wote wa Magufuli. Maana anajua anachokifanya. Wengine wanafanya kwa mihemko, kukurupuka na sifa. Hao nawapa 3/10.
Yuko yule Simbachawene bado anapiga hela kwa mgongo wa nyuma nampa 1/10Huyu hadi sasa mimi nampa 8/10 kati ya Mawaziri wote wa Magufuli. Maana anajua anachokifanya. Wengine wanafanya kwa mihemko, kukurupuka na sifa. Hao nawapa 3/10.