Nilifikiri unaonyesha kitu cha ajabu. Huna kazi za kufanya umekalia kuwacheka wagonjwa? Kama ugonjwa ni comedy basi nenda mahospitalini ukacheke hamu ikuishe
..kura nampa lowassa, nyie hangaikeni weee mkimaliza kura yangu nasema ni ya lowassa..
Hatutaki Raisi mkurupukaji aje aseme anavunja ikulu eti iko karibu na bahari ikitokea tsunami atakua wa kwanza kufa..!!
forget it.