Alifundishwa wing chun na Yip man baada anasema traditional martial arts huwa ziko rigid zina kufunga kufanya baadhi ya mambo kwenye fight.Bruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula (chop stick).
Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 november 1940 California, Marekani na alifariki tarehe 20 July 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.
Bruce Lee nguvu ya ngumi yake (punching force) ilikuwa na kilo 158 sawa na Mohammed Ali, lakini maajabu Bruce Lee alikuwa na kilo 58 na Mohammed ali kilo 117.
Bruce Lee alikuwa na uwezo wa kupiga ngumi tisa kwa sekunde moja, na ngumi yake ya inchi moja (one inch punch) ilikuwa na uwezo wa kumrudisha nyuma mita 5-6 mwanaume mwenye kilo 68.
Alikuwa na uwezo wa kupiga mateke tisa kwa sekunde moja, alipiga teke kiroba cha mchanga chenye kilo 135 na kuruka urefu wa futi tano kwenda juu. Alikuwa na uwezo wa kufungua kizibo cha soda kwa kutumia vidole viwili.
Aliweka rekodi ya dunia kwa kupiga 'push up' 1500 kwa mikono miwili bila kupumzika, 'push up' 400 kwa mkono moja, 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja, na 'push up' 100 kwa kidole gumba cha mkono moja.
Bruce Lee alikuwa mchina wa kwanza kurekodi filamu Hollywood Marekani katika sanaa ya kupigana (martial arts). Bruce Lee pekee ndiye alievunja rekodi ya dunia mara kumi ndani ya miaka 2 tu.
Kuna siku nikawa na jamaa nikasema,muziki anaoimba Buna boy cjui mimi haunivutii na wala haukuwahi kunishawishi hata siku moja,basi nilipokea kila aina ya kejeri kwamba sijui lugha ndio maana siuelewi.Kwahiyo usipopenda muvi za Bruce Lee ni mshamba sana? Dah! Nilikuwa sijijui aisee, hahahahaha
Tatizo la humu WAKUJA ni wengi sana. Sasa ili waonekane wanajua wanajifanya kushobokea kila kitu na kushabikia hata wasichokijua, na ukionekana kupinga wanajionesha wajuaji na kujifanya wao ndio 'watoto wa mjini'. Hawajui nani ni nani humu, basi muda mwingine ni kuwadharau tu na kuachana nao. Wengine ukiwauliza hata sehemu maarufu za sinema hapa Bongo zilikuwa wapi hawajui? Ila anzisha mada zungumzia Avalon Cinema wataibuka kibao kujifanya walikuwepo na wanajua sana. Naishia kucheka tu...Kuna siku nikawa na jamaa nikasema,muziki anaoimba Buna boy cjui mimi haunivutii na wala haukuwahi kunishawishi hata siku moja,basi nilipokea kila aina ya kejeri kwamba sijui lugha ndio maana siuelewi.
Nilistajabu sna,watu watambue binadamu kila mtu anapenda chakwakwe na wala tusibadiri maana kuwaona washamba .
Mimi ninavyovipenda wewe huwezi kuvipenda.Sisi waislam tuna msemo yule mwanamke au mwanaume unaemuona wewe mzuri mwenzako anamuona mbaya na yule unaemuona wewe mbaya mwenzako anamuona mzuri.Ili mradi kila mtu apate wake.
NB;KILA MTU APENDE VYAKE
Mkuu...tunachangamshana bana usichukulie serious[emoji16][emoji16]Kwahiyo usipopenda muvi za Bruce Lee ni mshamba sana? Dah! Nilikuwa sijijui aisee, hahahahaha
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hatimaye umetema nyongoTatizo la humu WAKUJA ni wengi sana. Sasa ili waonekane wanajua wanajifanya kushobokea kila kitu na kushabikia hata wasichokijua, na ukionekana kupinga wanajionesha wajuaji na kujifanya wao ndio 'watoto wa mjini'. Hawajui nani ni nani humu, basi muda mwingine ni kuwadharau tu na kuachana nao. Wengine ukiwauliza hata sehemu maarufu za sinema hapa Bongo zilikuwa wapi hawajui? Ila anzisha mada zungumzia Avalon Cinema wataibuka kibao kujifanya walikuwepo na wanajua sana. Naishia kucheka tu...
Uwongo dhambi.Sijawahi kuzipenda wala kuzielewa muvi za huyu jamaa
Be like my friend. Hizo mbinu pia kwa normal unaweza zitumiaAlifundishwa wing chun na Yip man baada anasema traditional martial arts huwa ziko rigid zina kufunga kufanya baadhi ya mambo kwenye fight.
Mfano: wing chun ilikuwa haina high kicks pia haikuwa na wrestling techniques mwamba akaona avumbe new style ambayo ni jeet kune do(the way of intercepting fist or a kick kwa mujibu wake)
Jeek kune do(JKD) alibidi aiongeze vitu kutoka western boxing,grappling techniques,stance kutoka art moja inaitwa Fencing na mambo kibao ili tu kuweza kupambana mazingira yoyote Yale ambayo baadhi ya Chinese traditional arts zilikuwa hazina.
Bruce alisema "absorb what is useful and reject what is useless" akaenda mbali zaidi akasema "Use the way as no way"
Kwa mtu ambae ni martial artist mzuri anaelewa mchango wa Bruce Lee kwenye hii mambo.
Ahsanteni.
Jamaa unamaswal yakipuuziKwa hio kaamisha utamaduni bila ridhaa ya wenye tamaduni yao, hilo ndio kosa lake?
Hahah[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hatimaye umetema nyongo
ChinaHio film alirecord China au America?
Ofcoz.. ni kama kanumba hapa bongo au Mr. Nice kwenye mziki wa bongo..Ila kusema ukweli jamaa alikuwa Yuko mbali mno kwa fani iyo ama Ni uwongo. Hakuna aliyeivunja iyo rekodi mpaka kesho
[emoji1787]Unaambiwa Dakika 1 alikuwa anapiga Bao 9 kwa style ya Tae Kwan Dow
Sekunde moja unaijua au unaisikiaBruce Lee aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba cha kulia chakula (chop stick).
Bruce Lee alizaliwa tarehe 27 november 1940 California, Marekani na alifariki tarehe 20 July 1973 Hong Kong akiwa na miaka 32.
Bruce Lee nguvu ya ngumi yake (punching force) ilikuwa na kilo 158 sawa na Mohammed Ali, lakini maajabu Bruce Lee alikuwa na kilo 58 na Mohammed ali kilo 117.
Bruce Lee alikuwa na uwezo wa kupiga ngumi tisa kwa sekunde moja, na ngumi yake ya inchi moja (one inch punch) ilikuwa na uwezo wa kumrudisha nyuma mita 5-6 mwanaume mwenye kilo 68.
Alikuwa na uwezo wa kupiga mateke tisa kwa sekunde moja, alipiga teke kiroba cha mchanga chenye kilo 135 na kuruka urefu wa futi tano kwenda juu. Alikuwa na uwezo wa kufungua kizibo cha soda kwa kutumia vidole viwili.
Aliweka rekodi ya dunia kwa kupiga 'push up' 1500 kwa mikono miwili bila kupumzika, 'push up' 400 kwa mkono moja, 'push up' 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja, na 'push up' 100 kwa kidole gumba cha mkono moja.
Bruce Lee alikuwa mchina wa kwanza kurekodi filamu Hollywood Marekani katika sanaa ya kupigana (martial arts). Bruce Lee pekee ndiye alievunja rekodi ya dunia mara kumi ndani ya miaka 2 tu.
Who is kanumba broOfcoz.. ni kama kanumba hapa bongo au Mr. Nice kwenye mziki wa bongo..
Kila nikirudi kusoma hapa, nacheka sana...........🤣🤣🤣Alikuwa na uwezo wa kupiga mateke tisa kwa sekunde moja, alipiga teke kiroba cha mchanga chenye kilo 135 na kuruka urefu wa futi tano kwenda juu. Alikuwa na uwezo wa kufungua kizibo cha soda kwa kutumia vidole viwili.
Bruce lee utamuelewa ikiwa wewe nawe ni mtu wa sanaa za mapigano!Shida ya kujifanya mjuaji, unachopenda wewe unafikiri kila mtu anakishobokea?
Hapo mtu ambaye analeta ukweli kwa kiasi fulani wa mapigano ni Don Yen.Hapana, movie zake ni local sana, ni mara mia niwaangalie Jet Lee, Do Yen na Jack Chan
Na kweli jamaa alikuwa na kiburi cha namna yake!Bruce lee alikua mwenye kiburi, jeuri na kujisikia saana.. alijiona ndo mover wa chinese movie industry.. na hii ndo ilipelekea mwisho wake
Kung fu ni mchezo ambao umechelewa kusambaa ukilinganisha na michezo mingine ya mapigano. Sababu kubwa ndiyo hiyo uliyoitaja wachina waliofanya ni tamaduni yao ni siri yao hivyo haifai kurithishwa kwa mtu yeyote isipokuwa ni China pekee.Kwa china ule upiganaji ulikuwa ni asili yao , ni utamaduni sasa yeye kaupeleka ugenini hili jambo halikukubalika.