Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,803
- 17,417
Bruce lee alikua mwenye kiburi, jeuri na kujisikia saana.. alijiona ndo mover wa chinese movie industry.. na hii ndo ilipelekea mwisho wake
[emoji1]Huyu Bruce Lee ana undugu na Suma Lee?
Nauliza tu.
[emoji41]
This is the nature of any human being,iyo Ni ego ndiyo unamuangushia mtu na sio lolote. Hata wewe ukiweza kuhonga milioni Kama vile unahonga alfu moja lazima kauli zako zitabadilika kwa wanaume. Kuwa mie naona ufahari mno kuombwa hela na mpenzi wangu by vunja Bei na ilhali anatoa laki masista duu wanalalamika kuwa natembea na bilionea napewa laki.walitegemea hata milioni 200 hivi,,Kweli mkuu huyu jamaa hana Tofauti na Nape nauye,nimeangalia Interviews zake akiojiwa jamaa alikuwa anajiskia sana.
Mapunga ni wale walio kuzaa punga kama ww. Wote mapungaSibishani na Mapunga
Haya PUNGAMapunga ni wale walio kuzaa punga kama ww. Wote mapunga
Dah mkuu mpaka nimejisikia aibu, of course It was supposed to mean the guy was an exceptional. Asante kwakunishtua, gonja ni editI guess you meant to say he was an exceptional? Not unexceptional?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] we acha tuUkipigwa kwenzi mimi sipo[emoji23]
Bruce Lee ni babu yake Suma Lee mkuu hii uhakika[emoji28][emoji28]Huyu Bruce Lee ana undugu na Suma Lee?
Nauliza tu.
[emoji41]
Wivu tu...jamaa alikuwa anajua sanaKweli mkuu huyu jamaa hana Tofauti na Nape nauye,nimeangalia Interviews zake akiojiwa jamaa alikuwa anajiskia sana.
Uko poa lkn?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] we acha tu
Poa kabisa...wewe je?Uko poa lkn?
Nimenyooka kabisa[emoji28]Poa kabisa...wewe je?
Alikuwa anaweza lakini sio kwamba alikuwa kinyonge, ameset benchmarks kwenye martial arts.Bruce lee alikua mwenye kiburi, jeuri na kujisikia saana.. alijiona ndo mover wa chinese movie industry.. na hii ndo ilipelekea mwisho wake
Walikuwa hawana cha kumfanya maana ngumi kumi kwa sekunde zenye uzito wa gunia la marage la kilo 158 kila punch moja πππ !Alikua mtu mwenye Ego na Aura sana.. hiyo iliwakwaza wachina wenzie..
Braza rudi dsm hapo Arusha sombetini ulipofikia sio pazuri na kitu wanachokupa wenzio kiache.Huyu Bruce Lee ana undugu na Suma Lee?
Nauliza tu.
π
Kwanini mnaiogopa sana Chuga?Braza rudi dsm hapo Arusha sombetini ulipofikia sio pazuri na kitu wanachokupa wenzio kiache.