Huyu ndiye Sophia Simba, mtoto wa Ilala

Huyu ndiye Sophia Simba, mtoto wa Ilala

...............Hongera sana .. watu walijua huna elimu kumbe ni mwanasheria aliyekubuhu.................
 
nilifurahi swali la Shyrose Bhanji lilikuwa na msingi afu hakuna jibu.

Kuna vitu vinatia maudhi hata kama havikuhusu, huyu mama ni janga kwa kweli.

Hii inaonyesha jinsi gani "IQ" ya huyu mama ilivyo chini!!!
 
CCM ina wenyewe na wenyewe wakikukubali utashinda uchaguzi wowote ndani ya ccm. Ina maana sofia simba is the best among the contestants. Napata shaka. Safari ya kaburini kwa kujitakia. BURIANI CCM
 
Inalekea mama alikuwa anagawa kwa KK wakati yupo kwenye ndoa na Cliff. Hajasema mme wake alikufa mwaka gani.

Umeona eeh, Yan kaolewa na Cliff 1972 plus watoto wa 2, na mwaka 1975 kawa Kimada wa KK.
Yaani huyu Ndo Kichwa cha wanawake wooote wa CCM Tanzani...
 
Watanzania tujifunze kubalance haki za kijinsia.
Yule katibu Mkuu wa chama cha upinzani ambaye mpaka sasa bado anaendeleza lavidavi live na mke wa mtu mnamchukulia poa tu. Huyu kwa vile ni mwanamke basi inakuwa big deal!
Tunakuwa kama jamii isiyojua inachotaka! Kama tunakataa infidelity iwe kwa kila kiongozi siyo viongozi wa kike tu.
 
unaongea upumbavu gani wewe! wwe ni wale wale, huyu ana nini alichonacho kichwani? kufungua bia, baa maid?
 
Huyu mama mwaka 1972 aliolewa na Cliff (Msauzi) na akazaa nae watoto wawili, then 1975 akawa anadate na mume wa mtu Kitwana Kondo. Katika hali ya kawaida inaonekana wakati anadate na Kitwana alikuwa anaendelea kuzaa na Msauzi, mambo ya ajabu kabisa haya. Kwa interval ya kutoka mwaka 1972 mpaka 1975 ni miaka mitatu, unless atueleze kwamba either alizaa hao watoto kabla ya kuowana na Cliff au alizaa watoto kama Mhindi
Nasikia kwa Wazaramo hii si ajabu. Lakini mimi kilichonistua zaidi ni juu ya ule mkataba wa jengo walilompa mwekezaji kwa miaka 33. Yaani hawakujua thamani ya jengo hilo? Ni yale yale ya mikataba yetu tunawaachia wazungu madini tukiambulia 3%.
 
Wazaramo kwa kuupepeta mko juu! Na hapo kachanganya na Mluguru sipati picha! Yaani mama kajimwaga mpaka basi. Nimependa kale ka-kipande eti watu wanasema kwangu ni kituo cha polisi! Duu.
 
Huyu mama mwaka 1972 aliolewa na Cliff (Msauzi) na akazaa nae watoto wawili, then 1975 akawa anadate na mume wa mtu Kitwana Kondo. Katika hali ya kawaida inaonekana wakati anadate na Kitwana alikuwa anaendelea kuzaa na Msauzi, mambo ya ajabu kabisa haya. Kwa interval ya kutoka mwaka 1972 mpaka 1975 ni miaka mitatu, unless atueleze kwamba either alizaa hao watoto kabla ya kuowana na Cliff au alizaa watoto kama Mhindi

Mkuu kwa watu wa design yake hilo sidhani kama ni la ajabu, na anachosema kuwa South Africa maisha magumu, sijui ana maana kuwa Tanzania maisha rahisi au maana yake nini. Ameshajieleza kuwa yeye ni nani kwa hiyo maswali mengi tayari yana majibu.
 
Aliwahi toa wito kwa wanawake kuwanyima NONINO waume zao ambao wako vyama vya upinzani.
 
Hivi nimesahau amesema amezaliwa mwaka gani, naona CV yake imejaa maelezo mengi ya baba yake, ila nimefurahi kuwa aliweza kuzibua vizibo na kuuza mishikaki na baadaye akaibukia NDC, na alienda Kibosho Secondary huku akifanya kazi NDC.
Zamani nzuri, humalizi shule ila kazi zipo! Hivi alikuwa na criss na wakati huo akiwa na Boyfried wake KK?

Mbona mwandishi hakuuliza: kwanini haukufuata wosia wa baba yako, umeacha kuendeleza biashara na badala yake umekuwa mwanasiasa?
 
nilifurahi swali la Shyrose Bhanji lilikuwa na msingi afu hakuna jibu.

Kuna vitu vinatia maudhi hata kama havikuhusu, huyu mama ni janga kwa kweli.

Una uhakika Shyrose hakujibiwa? na hata matokeo ni majibu tosha kwa shyrose
 
Mbona kazaazaa tu na kawa na mabiifrendi wengi hivi..khaaaa
 
...............Hongera sana .. watu walijua huna elimu kumbe ni mwanasheria aliyekubuhu.................

mkuu nania alikuambia kila aliyesoma sheria anauwezo wa ku argue? Yaani kusoma sheria peke yake haitoshi unahitaji uwe na kipaji pia cha kuargue na ku reason faster,kwa sisi ambao wanasheri huja mbele yetu huwa tunajua ukilaza wa baadhi ya wanaojiita wanasheria..
 
kilaza, UWT haitakaa isonge mbele.

Hivi alisomea wapi utaalamu wake wa kuongoza watu, achilia mbali elimu yake kwa ujumla tu. Tuna viongozi ambao hawajui hata wanachofanya ni nini
 
Huyu mama mwaka 1972 aliolewa na Cliff (Msauzi) na akazaa nae watoto wawili, then 1975 akawa anadate na mume wa mtu Kitwana Kondo. Katika hali ya kawaida inaonekana wakati anadate na Kitwana alikuwa anaendelea kuzaa na Msauzi, mambo ya ajabu kabisa haya. Kwa interval ya kutoka mwaka 1972 mpaka 1975 ni miaka mitatu, unless atueleze kwamba either alizaa hao watoto kabla ya kuowana na Cliff au alizaa watoto kama Mhindi

Kwetu sisi wazaramo ni kawaida tu hiyo...
 
Mbona kazaazaa tu na kawa na mabiifrendi wengi hivi..khaaaa

Mkuu ukiangalia baadhi ya watu wa pwani huo ndio mtindo wa maisha, hiyo kwao sio deviant behavior ni kitu cha kawaida sana. Tatizo la Shyrose ni kuwa alikwenda kwenye mkutano akidhani kuwa uswahili haupo kwenye higher offices, yeye anadhani kudeliver ndio msingi wa kuchaguliwa, kuna njia nyingine mbadala za waswahili ambazo Shyrose haziwezi.
 
Josephine anakula uroda na mume wa mtu.hilo mbona hatulisemi?
 
Back
Top Bottom