Is that what we only get from those contracts to sell the Southern corridor to Chinese people?
Kwa hiyo terms zote za ile mikataba 15 iliyosainiwa na Rais Mchina alipotinga Bongo reward yake ni kusomesha watu hao 100 wakati wao wakiendelea na exploration? That was my question.We nawe!!! What else do u want to get??? Kuna zaidi ya elimu? au unataka upewe hela mkononi? Education is everthying to u ! mfyuuuuuuuuuu, kajipange tena!
Kwa hiyo terms zote za ile mikataba 15 iliyosainiwa na Rais Mchina alipotinga Bongo reward yake ni kusomesha watu hao 100 wakati wao wakiendelea na exploration? That was my question.
Huyu kuwadi na hana maana.[/QUO
Kuwadi kama alivyo baba yako!
Na wewe weka zile zero zako ! Zero Brain!Ongezea na wizi wa fedha za Escrow account kwenye CV yake!
Economic Hit Men huwa wanapambwa sana na mataifa makubwa yenye kuwamiliki!!! jiulize pamoja na sifa zote walizomwagia; amewafanyia nini Watanzania zaidi ya UFISADI na kuwanyima kumiliki Gas na Madini kwa maslahi ya Watu wa Magharibi?... Waafirika wasomi wanatia kinyaa sana ....
mbona wanuna yakhe? Limekugusa eti? Acheni wizi wa mali za umma!
Wapo wengi tu wenye wasifu kama zake! Yeye siyo wa kwanza.
Sasa hii ni scholarship au CV ya muongo.
Mwenye sifa zote ni Mwenyezi Mungu pekee! Mwenye sifa zaidi ya Muhongo ni yule mwalimu wake aliyempa elimu hiyo, bila yeye usingemsifia hivyo!Toa na sifa zako tukusikie kwanza halafu ndio tuwatafute hao wengine anaofanan nao!