Huyu ndiye Prof. Abdulrahman Mohamed Babu!

Hakuwa mtu mzuri kabisa. Kuna mzungu mmoja aliwahi muandika kwenye kitabu chake akamzungumza jamaa alivokua kwa mujibu alivomfahamu.

Ila Alikua ni mwanasiasa aliebobea na mwenye uwezo mkubwa kiakili.



Je, unaweza kukumbuka jina la hicho kitabu??, na kwa mukhtasari, unaweza kudondoa mabaya aliyoyaeleza huyo mzungu??.
 
Umeandika mambo mengi mazuri Ila sasa kwa Kambina kufukuzwa TANU so kweli.Kambona baada ya msuguano na Nyerere Kule Arusha alisoma alama akaamua kuondoka mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia nzuri sana ya comrade Babu. Safi sana
 
Babu was great akiwa uhamishoni tu, lakini akiwa Kiongozi wa Taifa hakuwa na nia njema rohoni mwake na hili taifa na Mwalimu alimjua mapema sana. - William
Mwalimu ulikuwa ukimshauri swala usawa hopo.kasheshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…