Huyu ndiye mwenyekiti wa UVCCM taifa mpya baada ya Sadifa Juma

Pamoja na kwamba CCM ina hazina ya Vijana wengi wazuri lakini huyu kijana anafaa sana kupokea kijiti kutoka kwa Mwenyekiti wa sasa wa UVCCM taifa Juma Khamis Sadifa.Abel Magembe Lugimba ni kijana msomi mzalendo ambaye ana karama ya Uongozi,ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Elimu kutoka katika Chuo Kikuu cha ST JOHN-DODOMA,Kwa ufupi ni mwalimu wa Sayansi kitaalamu ambaye amebobea kufundisha BIOLOGIA na KEMIA.Binafsi nimemfahamu huyu kijana tangia Mwaka 2014 nikiwa nasoma chuo kikuu cha Dodoma baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM katika Chuo Kikuu cha ST JOHN. Harakati za kisiasa ndizo zilizotukutanisha ndipo nilipoweza kufahamiana nae.Amekuwa MPAMBANAJI mkubwa ndani ya CCM hususan katika Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu pamoja na UVCCM, Akiwa pale ST JOHN'S UNIVERSITY alifanikiwa kuisambaratisha CHADEMA katika Serikali ya wanafunzi ijulikanayo kama SOSJUT na kuiweka serikali ya wanafunzi inayoongozwa na CCCM.Abel Magembe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali katika mambo ya msingi, anachukia sana Watu wa chini kuonewa, siku zote husimama na Wanyonge katika kupigania haki zao, pamoja na hayo kijana huyu anachukia sana rushwa na ufisadi.Baada ya kuwa amehitimu Elimu yake ya Chuo Kikuu pale ST JOHN'S UNIVERSITY alirudi nyumbani kwao Mkoani Rukwa na kujitosa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE katika jimbo la Kalambo katika kura za maoni ndani ya CCM ambapo pamoja na dhamira yake hiyo ya Kutaka kuwa Mbunge hakuweza kufanikiwa kupita yaani kura alizozipata hizikutosha kumuwezesha kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo hilo.Abel Magembe ni Kijana ambaye huwa hakati tamaa, baada ya kuwa ameshindwa alikubaliana na Matokeo na kusonga mbele katika kuipigania CCM ili kuhakikisha inapata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika 25/10 /2015.
Abel Magembe ni Kijana ambaye anauwezo mkubwa sana katika kujenga hoja chanya za kimaendeleo, Ujasiri wake mkubwa katika kutetea haki za watu wengine bila ubaguzi wowote ule na kusimamia haki ni mojawapo ya Vitu ambavyo vimekuwa vinanishawishi na kuona kuwa anafaa sana kuwa mrithi wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Ndg Juma Sadifa.Katika awamu hii ya Hapa kazi tu inayoongozwa na Dkt Magufuli itafaa sana kama kijana huyu 2017 atapewa Uwenyekiti wa UVCCM taifa ili amsaidie RAIS Magufuli katika kuijenga upya CCM.
Kwa ninavyomfahamu Abel Magembe msimamo wake mkali dhidi ya Mafisadi wapiga dili hakika Raisi wetu atakuwa amepata msaidizi makini katika UTUMBUAJI WA MAJIPU.

Mwisho,Ninawaomba Vijana wote WanaCCM muda utakapofika wa Uchaguzi mwakani Tumuunge mkono Abel Magembe Lugimba ili awe mwenyekiti wetu wa UVCCM TAIFA kama Chama kitamteua kugombea nafasi hiyo.UVCCM MPYA IMARA NA MATHUBUTI INAWEZEKANA CHINI YA ABEL MAGEMBE LUGIMBA 2017.
endeleeni kuweka mitandao. wembe ni ule ule, kama sio muadilifu na mtendaji unakatwa. watu kazi kupanga safu na hila wakati lengo ni kutafuta ulaji.
 
Mtajua wenyewe, subirini muda ufike wa kuchagua mpeleke CV zenu lumumba.
 
Maghembe yupi? Yule kijana tapeli? Huyu hafai hata kupewa Mwenyekiti wa kitongoji, alikuwa Chadema baada ya kutochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema akanuna akaanza majungu pale chuoni, baadae akaona CCM wanakaribia kufanya uchaguzi pale chuoni akatimka na kujiunga CCM. Hahahaa umetisha kijana, unajitangaza mwenyewe na kujisifia mwenyewe? Nakumbuka uliwahi kupatikana na hatia mahakamani pale Dodoma, right? Au unabisha tutoe Ile hukumu hapa? Hivi Mamvi ndo kakutuma ili uje kutuvuruga? Tunajua ww ndo ulikuwa coordinator wa Lowasa hapo St John's Dodoma na hata alipohamia Chadema uliendelea kuwa upande wake, sasa unaanza kujipigia debe. Hapa hulambi kitu
Pamoja na kwamba CCM ina hazina ya Vijana wengi wazuri lakini huyu kijana anafaa sana kupokea kijiti kutoka kwa Mwenyekiti wa sasa wa UVCCM taifa Juma Khamis Sadifa. Abel Magembe Lugimba ni kijana msomi mzalendo ambaye ana karama ya Uongozi, ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Elimu kutoka katika Chuo Kikuu cha St John-Dodoma,

Kwa ufupi ni mwalimu wa Sayansi kitaalamu ambaye amebobea kufundisha Biologia na Kemia.

Binafsi nimemfahamu huyu kijana tangia Mwaka 2014 nikiwa nasoma chuo kikuu cha Dodoma baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM katika Chuo Kikuu cha St John.

Harakati za kisiasa ndizo zilizotukutanisha ndipo nilipoweza kufahamiana nae.Amekuwa mpambanaji mkubwa ndani ya CCM hususan katika Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu pamoja na UVCCM, Akiwa pale St john's university alifanikiwa kuisambaratisha CHADEMA katika Serikali ya wanafunzi ijulikanayo kama SOSJUT na kuiweka serikali ya wanafunzi inayoongozwa na CCCM.

Abel Magembe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali katika mambo ya msingi, anachukia sana watu wa chini kuonewa, siku zote husimama na Wanyonge katika kupigania haki zao, pamoja na hayo kijana huyu anachukia sana rushwa na ufisadi.

Baada ya kuwa amehitimu Elimu yake ya Chuo Kikuu pale St John's University alirudi nyumbani kwao Mkoani Rukwa na kujitosa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE katika jimbo la Kalambo katika kura za maoni ndani ya CCM ambapo pamoja na dhamira yake hiyo ya Kutaka kuwa Mbunge hakuweza kufanikiwa kupita yaani kura alizozipata hizikutosha kumuwezesha kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo hilo.

Abel Magembe ni Kijana ambaye huwa hakati tamaa, baada ya kuwa ameshindwa alikubaliana na Matokeo na kusonga mbele katika kuipigania CCM ili kuhakikisha inapata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika 25/10 /2015.

Abel Magembe ni Kijana ambaye anauwezo mkubwa sana katika kujenga hoja chanya za kimaendeleo, Ujasiri wake mkubwa katika kutetea haki za watu wengine bila ubaguzi wowote ule na kusimamia haki ni mojawapo ya Vitu ambavyo vimekuwa vinanishawishi na kuona kuwa anafaa sana kuwa mrithi wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Ndg Juma Sadifa.

Katika awamu hii ya Hapa kazi tu inayoongozwa na Dkt Magufuli itafaa sana kama kijana huyu 2017 atapewa Uenyekiti wa UVCCM taifa ili amsaidie Rais Magufuli katika kuijenga upya CCM.

Kwa ninavyomfahamu Abel Magembe msimamo wake mkali dhidi ya Mafisadi wapiga dili hakika Rais wetu atakuwa amepata msaidizi makini katika utumbuaji wa majipu.

Mwisho, Ninawaomba Vijana wote WanaCCM muda utakapofika wa Uchaguzi mwakani Tumuunge mkono Abel Magembe Lugimba ili awe mwenyekiti wetu wa UVCCM taifa kama chama kitamteua kugombea nafasi hiyo. UVCCM mpya imara na mathubuti inawezekana chini ya abel Magembe Lugimba 2017.
 
Kwa maoni yangu;
Kuna mawili hapa...
*Anajipigia debe
*Anataka kujua mabaya/mazuri ya Mhusika.
 
hastahilimbe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali katika mambo ya msingi, anachukia sana watu wa chini kuonewa, siku zote husimama na Wanyonge katika kupigania haki zao, pamoja na hayo kijana huyu anachukia sana rushwa na ufisadi.

Baada ya kuwa amehitimu Elimu yake ya Chuo Kikuu pale St John's University alirudi nyumbani kwao Mkoani Rukwa na kujitosa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE katika jimbo la Kalambo katika kura za maoni ndani ya CCM ambapo pamoja na dhamira yake hiyo ya Kutaka kuwa Mbunge hakuweza kufanikiwa kupita yaani kura alizozipata hizikutosha kumuwezesha kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo hilo.

Abel Magembe ni Kijana ambaye huwa hakati tamaa, baada ya kuwa ameshindwa alikubaliana na Matokeo na kusonga mbele katika kuipigania CCM ili kuhakikisha inapata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika 25/10 /2015.

Abel Magembe ni Kijana ambaye anauwezo mkubwa sana katika kujenga hoja chanya za kimaendeleo, Ujasiri wake mkubwa katika kutetea haki za watu wengine bila ubaguzi wowote ule na kusimamia haki ni mojawapo ya Vitu ambavyo vimekuwa vinanishawishi na kuona kuwa anafaa sana kuwa mrithi wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Ndg Juma Sadifa.

Katika awamu hii ya Hapa kazi tu inayoongozwa na Dkt Magufuli itafaa sana kama kijana huyu 2017 atapewa Uenyekiti wa UVCCM taifa ili amsaidie Rais Magufuli katika kuijenga upya CCM.

Kwa ninavyomfahamu Abel Magembe msimamo wake mkali dhidi ya Mafisadi wapiga dili hakika Rais wetu atakuwa amepata msaidizi makini katika utumbuaji wa majipu.

Mwisho, Ninawaomba Vijana wote WanaCCM muda utakapofika wa Uchaguzi mwakani Tumuunge mkono Abel Magembe Lugimba ili awe mwenyekiti wetu wa UVCCM taifa kama chama kitamteua kugombea nafasi hiyo. UVCCM mpya imara na mathubuti inawezekana chini ya abel Magembe Lugimba 2017.
Kwa staili hii, hata kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Mtaa hastahili. Vijana wa sasa tunatakiwa tuchape kazi watu wenyewe watuone siyo kujipigia "promo". Haya matamanio na matarajio yaliyopitiliza hayatatusaidia sana. Nakumbuka ule wimbo wa zamani: "EWE KIJANA ACHA KUPIGA MAYOWE ACHA WATU WAONE WENYEWE". Pole sana...
 
Yupo kati ya wale vijana 49? Amewahi kumtukana au kumpiga kiongozi gani? Umbea gani amewahi kupeleka kitengo? Fitina gani amewahi kufanya? Pia ni vizuri awe specific; anataka ukuu wa wilaya kabisa au uenyekiti tu wa vijana?
 
Pamoja na kwamba CCM ina hazina ya Vijana wengi wazuri lakini huyu kijana anafaa sana kupokea kijiti kutoka kwa Mwenyekiti wa sasa wa UVCCM taifa Juma Khamis Sadifa. Abel Magembe Lugimba ni kijana msomi mzalendo ambaye ana karama ya Uongozi, ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Elimu kutoka katika Chuo Kikuu cha St John-Dodoma,

Kwa ufupi ni mwalimu wa Sayansi kitaalamu ambaye amebobea kufundisha Biologia na Kemia.

Binafsi nimemfahamu huyu kijana tangia Mwaka 2014 nikiwa nasoma chuo kikuu cha Dodoma baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM katika Chuo Kikuu cha St John.

Harakati za kisiasa ndizo zilizotukutanisha ndipo nilipoweza kufahamiana nae.Amekuwa mpambanaji mkubwa ndani ya CCM hususan katika Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu pamoja na UVCCM, Akiwa pale St john's university alifanikiwa kuisambaratisha CHADEMA katika Serikali ya wanafunzi ijulikanayo kama SOSJUT na kuiweka serikali ya wanafunzi inayoongozwa na CCCM.

Abel Magembe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali katika mambo ya msingi, anachukia sana watu wa chini kuonewa, siku zote husimama na Wanyonge katika kupigania haki zao, pamoja na hayo kijana huyu anachukia sana rushwa na ufisadi.

Baada ya kuwa amehitimu Elimu yake ya Chuo Kikuu pale St John's University alirudi nyumbani kwao Mkoani Rukwa na kujitosa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE katika jimbo la Kalambo katika kura za maoni ndani ya CCM ambapo pamoja na dhamira yake hiyo ya Kutaka kuwa Mbunge hakuweza kufanikiwa kupita yaani kura alizozipata hizikutosha kumuwezesha kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo hilo.

Abel Magembe ni Kijana ambaye huwa hakati tamaa, baada ya kuwa ameshindwa alikubaliana na Matokeo na kusonga mbele katika kuipigania CCM ili kuhakikisha inapata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika 25/10 /2015.

Abel Magembe ni Kijana ambaye anauwezo mkubwa sana katika kujenga hoja chanya za kimaendeleo, Ujasiri wake mkubwa katika kutetea haki za watu wengine bila ubaguzi wowote ule na kusimamia haki ni mojawapo ya Vitu ambavyo vimekuwa vinanishawishi na kuona kuwa anafaa sana kuwa mrithi wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Ndg Juma Sadifa.

Katika awamu hii ya Hapa kazi tu inayoongozwa na Dkt Magufuli itafaa sana kama kijana huyu 2017 atapewa Uenyekiti wa UVCCM taifa ili amsaidie Rais Magufuli katika kuijenga upya CCM.

Kwa ninavyomfahamu Abel Magembe msimamo wake mkali dhidi ya Mafisadi wapiga dili hakika Rais wetu atakuwa amepata msaidizi makini katika utumbuaji wa majipu.

Mwisho, Ninawaomba Vijana wote WanaCCM muda utakapofika wa Uchaguzi mwakani Tumuunge mkono Abel Magembe Lugimba ili awe mwenyekiti wetu wa UVCCM taifa kama chama kitamteua kugombea nafasi hiyo. UVCCM mpya imara na mathubuti inawezekana chini ya abel Magembe Lugimba 2017.

Hakuna kijana anayetaka kuwa MwanaCCM bali ni kwa aajili ya TUMBO TU.

Vijana wote walio CCM ni kwa Maslahi binafsi na wala si kwa Mapenzi ya UKOMBOZI wa Taifa la zaidi ya Miaka 50, Watz karibu wote hawana hata uwezo wa kula MLO MMOJA MKAMILIFU.

Wenzetu wanafikiria kuishi kwenye sayari, sisi hata uwezo wa kula tu hatuna, beyond shame & sinful unapoongelea issues about CCM.

Watch out and stop ua nonsense here!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukisikia mwanaccm anayesifiwa kuwa ni mpambanaji ujue moja kwa moja kwamba anapambana kuhakikisha gepu lililopo kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho linaendelea kuwa kubwa...
 
anahitajika zaidi kwenye elimu. aende akafundishe vijijini maana huko ndiko wazalendo wanahitajika
 
unamjua mkalipa amiri wewe? sasa yule ndio anaandaliwa kuwa mwenyekiti wa uvccm na mambo yanaenda sawia kama ni mfuatiliaji utaona jinsi kinana na nape wanavyojitahidi kuzunguka nae kumjenga

Hahahaa!!!

bloga katika ubora wakooo
 
nashinwa nianzie wapi kukoment maana mwandishi hajui maana ya ......ubobezi wa elimu....sijui kala kashata za lumumba hata simwelewi
 
Pamoja na kwamba CCM ina hazina ya Vijana wengi wazuri lakini huyu kijana anafaa sana kupokea kijiti kutoka kwa Mwenyekiti wa sasa wa UVCCM taifa Juma Khamis Sadifa. Abel Magembe Lugimba ni kijana msomi mzalendo ambaye ana karama ya Uongozi, ana shahada ya kwanza ya Sayansi ya Elimu kutoka katika Chuo Kikuu cha St John-Dodoma,

Kwa ufupi ni mwalimu wa Sayansi kitaalamu ambaye amebobea kufundisha Biologia na Kemia.

Binafsi nimemfahamu huyu kijana tangia Mwaka 2014 nikiwa nasoma chuo kikuu cha Dodoma baada ya yeye kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa UVCCM katika Chuo Kikuu cha St John.

Harakati za kisiasa ndizo zilizotukutanisha ndipo nilipoweza kufahamiana nae.Amekuwa mpambanaji mkubwa ndani ya CCM hususan katika Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu pamoja na UVCCM, Akiwa pale St john's university alifanikiwa kuisambaratisha CHADEMA katika Serikali ya wanafunzi ijulikanayo kama SOSJUT na kuiweka serikali ya wanafunzi inayoongozwa na CCCM.

Abel Magembe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali katika mambo ya msingi, anachukia sana watu wa chini kuonewa, siku zote husimama na Wanyonge katika kupigania haki zao, pamoja na hayo kijana huyu anachukia sana rushwa na ufisadi.

Baada ya kuwa amehitimu Elimu yake ya Chuo Kikuu pale St John's University alirudi nyumbani kwao Mkoani Rukwa na kujitosa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE katika jimbo la Kalambo katika kura za maoni ndani ya CCM ambapo pamoja na dhamira yake hiyo ya Kutaka kuwa Mbunge hakuweza kufanikiwa kupita yaani kura alizozipata hizikutosha kumuwezesha kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya CCM katika jimbo hilo.

Abel Magembe ni Kijana ambaye huwa hakati tamaa, baada ya kuwa ameshindwa alikubaliana na Matokeo na kusonga mbele katika kuipigania CCM ili kuhakikisha inapata ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika 25/10 /2015.

Abel Magembe ni Kijana ambaye anauwezo mkubwa sana katika kujenga hoja chanya za kimaendeleo, Ujasiri wake mkubwa katika kutetea haki za watu wengine bila ubaguzi wowote ule na kusimamia haki ni mojawapo ya Vitu ambavyo vimekuwa vinanishawishi na kuona kuwa anafaa sana kuwa mrithi wa Mwenyekiti wa UVCCM taifa Ndg Juma Sadifa.

Katika awamu hii ya Hapa kazi tu inayoongozwa na Dkt Magufuli itafaa sana kama kijana huyu 2017 atapewa Uenyekiti wa UVCCM taifa ili amsaidie Rais Magufuli katika kuijenga upya CCM.

Kwa ninavyomfahamu Abel Magembe msimamo wake mkali dhidi ya Mafisadi wapiga dili hakika Rais wetu atakuwa amepata msaidizi makini katika utumbuaji wa majipu.

Mwisho, Ninawaomba Vijana wote WanaCCM muda utakapofika wa Uchaguzi mwakani Tumuunge mkono Abel Magembe Lugimba ili awe mwenyekiti wetu wa UVCCM taifa kama chama kitamteua kugombea nafasi hiyo. UVCCM mpya imara na mathubuti inawezekana chini ya abel Magembe Lugimba 2017.

Na kunukuu "Abel Magembe ni Kiongozi mwenye msimamo mkali" mwisho wa kunukuu. Hali hii inaonyesha jinsi Abel ( muuaji wa Cain) anavyoabudu " extremism" Hii ni hatari, isipokuwa tu kama sera mpya ya UVCCM ni kivuli cha UAMSHO.

Kwanini UVCCM isimwachie mlinda Mapinduzi wa kweli , Shaka Hamidu Shaka, anaekaimu nafasi hiyo kwa sasa? Shaka Hamidu Shaka ana kila sifa yakuwa mwenyekiti bora kutokana na utendaji wake uliotukukua aliouonyesha tokea akaimu nafasi hiyo.

Shaka Hamidu Shaka ni mwenzetu, mlinda mapinduzi na muungano kwa vitendo, jasiri, mvumilivu. mwenzetu, mpiganaji, hatetereki, maslahi ya chama mbele, aliesimami kidete kupinga matokeo ya uchaguzi wa awali na kuhakikisha kuwa uchaguzi unarejewa. na kubwa zaidi ameweza kuwashajiisha vijana kukipa ushindi wa kishindo cha CCM katika uchaguzi wa marejeo ya wawakilishi na Rais Zanzibar
Hoja ya kuwa .Shaka Hamidu Shaka ni mzanzibari na kuwa mara hii ni zamu ya bara haina mashiko, kwa vile haimo kwenye katiba ya cham. Mwanachama yoyote mwenye sifa ana haki ya kugombea nafasi hiyo na hapana shaka Shaka Hamidu Shaka amemfunika vibaya sana Abel

Shaka Hamidu Shaka ni chaguo pekee la UVCCM
 
Back
Top Bottom