Huyu ndiye Mrs equationx; Joannah

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,624
Reaction score
65,097
Nampenda sana huyu binti Joannah kweli, ni mpambanaji na anajua kupenda. Nimetoka club mida hii nikitafakari namna huyu mrembo anavyonipenda, na kweli nathibitisha ananipenda, kupitia jukwaa hili nathibitisha kumpenda zaidi na zaidi.

Nakupenda sana Joannah, tunaishi mara moja, muhimu kulinda furaha ya kila mmoja. Nakuhakikishia tutazeeka pamoja.

Kupitia uzi huu, huyo ndio Mrs Equation x, ingawa nina familia ila yeye bado atakuwa bega kwa bega, katika harakati zangu za hapa na pale kwa hapa duniani.

Wakuu, pokeeni taarifa.
​
 
.........daah sisi madomo zege kweli tutaishia kushangaa, siku zote nimekaa najipanga kumuanzishia Uzi maalumu kabisa kwake, lakini umeshaniwahi yaani umekurupuka kutoka ndotoni na kuanzisha thread, basi bana ngoja nianze kujipendekeza kwa shunie, carleen, mideko au hata ua la kipekee........ potelea mbali kwani kitu gani bana ........

.........mkuu kama unamtaka kweli Jonah we muhonge mikeka miwili tu yenye sure odds, utakuja nishukuru sana hapa, coz huyo bibie ni mpambanaji haswaa coz nakula sahani moja na wazee wa kuweka mzigo, hii ni credit nampa kwa moyo safi kabisa.......
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jonah wa mikeka 1.5 Odd over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…