Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,698
- 5,925
Nimeona nami Mjukuu wa Chief Hangaya nichangie kidogo katika hili kwani nimeona wachambuzi njaa wengi pamoja na yule semaji lenye mikosi Tanzania a.k.a Popoma la MUM bwana Ahamed Ally Kisauti wanalaumu na kusema Kibabu, kazee ka kulalamika Ntibanzokinza anastahili u MVP.
Kitakwimu Mayele 2022/23
☑️ Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi zaidi Tanzania 🇹🇿
⚽ 02 - Ngao ya jamii.
⚽ 17 🅰️04 - Ligi kuu
⚽ 02 - FA cup
☑️ Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye michuano ya (CAF) 2022/23.
⚽ 07🅰️01 - CAF Preliminary round
⚽ 07🅰️04 - CAF Confederations cup.
TOTAL = ⚽ 35 + 🅰️09
Mayele ana ;
🏆 Ubingwa wa ligi kuu
🏆 Ubingwa wa FA
🏆 Ngao ya jamii
Pia ana
🎖️ Medali ya fainali CAF
🏆 Mfungaji bora CAF
🏆 Mfungaji bora ligi kuu ANBC
🏆 Goli bora ligi kuu
TUJIKITE KWENYE TUZO ya (MVP) 🇹🇿
» Katika magoli (17) aliyofunga Mayele kwenye Ligi kuu, yameamua moja kwa moja jumla ya michezo (9). Kila Mchezo alama 3 × 9 = 27.
Ame score alama (27) peke yake na kuifanikisha Yanga kutwaa Ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara 🏆 ....
Katika points (78) za Yanga Mayele kachangia points (27), point nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote ligi kuu.
Kwa upande wa Kakongwe
» Magoli (17) ya Saido Ntibazonkiza, yame-score alama (15). Magoli mengi aliyofunga Saido yalikuwa Additional , timu ikiwa tayari inaongoza.
Hii ndiyo michezo aliyoiamua Saido akiwa Simba SC na kuipa Simba point (09) kati ya points (73) za Simba SC.
⚽⚽⚽ vs Prisons
⚽⚽⚽⚽⚽ vs Polisi Tanzania
⚽⚽ vs Coastal
Kwa kifupi, wengi wanaohoji kwa nini Mayele kapata tuzo ya MVP na sio Saido hawana data, wanaongea kishabiki.
🅿️ 27 - Mayele
🅿️ 15 - Ntibazonkiza
Kitu kilichopigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza, ni Ubingwa. MVP Mayele kaipa Ubingwa timu yake kwa kuchangia asilimia kubwa ya points kuliko mchezaji yoyote.
Ndio maana Haaland ni MVP wa EPL 2023 🏴 kwa sababu amechangia points nyingi zaidi kwenye Ubingwa wa Man city kuliko mchezaji yeyote.
Andy Boyeli ni top scorer wa Zambia 🇿🇲, amechangia points nyingi kwenye Ubingwa wa Power Dynamos that's why amechaguliwa kuwa MVP wa ligi ya Zambia 🇿🇲 2023 etc
Hongera FM kwa kuwa MVP, Umedeserve pia hongera kwa ile Pisi kali iliyopokea Tuzo yako japo kwa huyo wa kiume, mhhhh ni mdaka mishale tu.