Huyu ndiye lowassa.....!!!!!

Status
Not open for further replies.
Ukitowa mkono wa kulia wa kushoto usijuwe!

Unanikumbusha jamaa mmoja aliyepata matatizo ya kifedha yaliyohusisha watoto wake wachanga watatu pia..jamaa alinambia alikwenda kumuona lowassa akaambulia kupewa siasa za 'kijana siwezi kukusaidia sababu nina watu wengi sana wanaonitegemea'..maskini kijana wa watualisahau kuwa njia ya kupata pesa za hawa watu ni kwenda na waandishi wa habari!
 
Na wewe umejihakikishia kwamba utaendelea kuishi milele na milele!!! Assumptions zingine bwana!!
 

Hivi TAKUKURU awaangaliagi source ya viwango vya michango inayotolewa makanisani na misikitini? Mbinguni wataingia wachache sana! Huyo baba askofu alitakiwa kuuliza kama ni pesa safi au chafu, na kama jibu ni chafu alitakiwa kui-reject.

Halafu hawa viongozi wa dini wanayaishi maandiko matakatifu kweli? Au kwanza wanayaelewa vizuri?!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…