Huyu ndiye Edward Lowassa

Kama unataka mabadiliko mwanaume nenda uvae dela halafu mtafute juma nyoso
 
Tumekusikia but sorry the time now is almost time up!, anything you can try to do now won't change a thing!, in fact it is too little too late!, watu wa maamuzi waliisha amua siku nyingi hivyo hii kitu haisaidii kitu.
Pasco



ARUSHA WAMENENA! MAGUFULI RAISI ANAYESUBIRI KUAPISHWA ....MONDULI WAMRUDISHA SOKOINE MMSAI WA UKWELI.... HADI SASA KM 21000 wanakoishi binadamu zimefikiwa...majimbo 228 yamewekwa kwapani.... huko hakuna jamii forum wala facebook....... TINGA TINGA Endelea kutupa raha!
 
Hivyo vyote navijua ndio maana nimeamua kwamba nitampigia kura yeye ili awe rais wangu!
Hutaki kale malimao!
 
Huyu lowassa hawezi kua raisi wa Tanzania labda sijuh Iwaje
 
Ahsante kwa kumpaka marashi ukidhani umempaka matope.Amewashika na mmeshikika sawa sawa!
 

Naomba unieleze mambo manne ambayo yatanifanya niichague CCM.
 
ok tumekusikia..tupe na mema ya hao malaika wako waliobaki ccm..na epa..escrow..mabehewa..tanesco..hela za marekebisho ya katiba..nk..hebu tiririka maana we fundi sana
 
Tumekusikia but sorry the time now is almost time up!, anything you can try to do now won't change a thing!, in fact it is too little too late!, watu wa maamuzi waliisha amua siku nyingi hivyo hii kitu haisaidii kitu.
Pasco
itasaidia tu hyo wew subir hyo 25 ndo utajua kumbe ile kitu ilisadia
 
Alipokuwa ccm hamkuyaona hayo mkaendelea kumpa nyadhifa katika vitengo nyeti!mtaisoma namba mwaka huu.
 

Umejitahidi kutudanganya ila hatudanganyiki ngooooooooo kura kwa LOWASA
 
Tumesikia Lowassa kweli ni mtu hatari sana,lakini ingekuwa vyema utuwekee ufisadi wa Riziwani Kikwete pia, huyu dogo akifikia umri wa Lowassa atakuwa mtu hatari kuliko.
 
Tulishasema Lowasa hafai kuwa Rais na ndiomaana ccm walimkata mapema tu
 

Hamna shida,sisi tunamtaka huyo huyo,na hatutaki mwingine.hayo hayo yote kama aliyafanya,ni mawazo yako na genge lako. Tunavyoamua,tumeamua kumchagua LOWASA. Heri huyu LOWASA wetu MMOJA kuliko genge aliowaacha huko kwenu. Tatizo nyinyi sio waelewa ni wabishi sana,hamtaki kukubali Ukweli. Kwenu ndo wapo hao jamaa.LOWASA yupo huku kwetu,atafuata maono,malengo ya wanaukawa. Mungu akubariki ibariki Tanzania.
 
LOWASSA alipo tupo!

Mpango wa MUNGU hauzimwi, tunamwombea aingie IKULU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…