Huyu ndio Tundu Lissu na hivi ndivyo anavyopokelewa na wenzetu huko nje ya nchi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.

Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu

For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
EDxjrFxXoAAaKQz.jpg
 
Ok, bila shaka ataongeza wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa had talk ya BBC, na bila shaka sasa watafikia milion 160 na watamsaidia kupiga kura mwaka 2020

Go Lisu goo..

Kingine pia bila shaka atapewa bus lingine kama lile tulioneshwa na wafuasi wake hapa mtandaoni

Go Lisu gooo
 
Japkuwa lissu sio Yesu na hawezi kuwa Yesi na Hawezi kuitwa Yesu lkn anayopitia yanafanana fanana na Yesu wa nazareti
 
Kupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.

Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu

For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
EDxjrFxXoAAaKQz.jpg
Hapo inaelekea walikuwa wanajadili jinsi ya kuimarisha "upinde wa mvua" kwenye chama chake atakapo rejea
 
..yule jamaa akiwa waziri alikuwa anamwambia Lissu kuwa anamuunga mkono alivyokuwa akitetea rasilimali zetu.

..alikuwa anaogopa kujitokeza na kupoteza nafasi na kula yake.

..sasa leo amepata nafasi anamuita Tundu Lissu msaliti, na kumtumia watu wamuee kinyama utadhani ni mnyama wa porini.
 
Ok, bila shaka ataongeza wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa had talk ya BBC, na bila shaka sasa watafikia milion 160 na watamsaidia kupiga kura mwaka 2020

Go Lisu goo..

Kingine pia bila shaka atapewa bus lingine kama lile tulioneshwa na wafuasi wake hapa mtandaoni

Go Lisu gooo
Hahahahahahah wafuasi wa chadema wana matatizo katika mfumo wao wa KUFIKIRI. Wamedanganywa kuwa harudi kisa daktari wake hajamruhusu lkn hawahoji mbona Anazidi kuzurula huko Ulaya?
 
Ok, bila shaka ataongeza wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa had talk ya BBC, na bila shaka sasa watafikia milion 160 na watamsaidia kupiga kura mwaka 2020

Go Lisu goo..

Kingine pia bila shaka atapewa bus lingine kama lile tulioneshwa na wafuasi wake hapa mtandaoni

Go Lisu gooo
Hawa watu dhamiri zao zilishakufa Siku nyingi
 
Back
Top Bottom