Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Aseeh nikama Nimependa Tangazo lako ila badilisha r hizo maana mke tupo chumbani unaniambia baby I rove you nitakimbia.

Kila la kheri kigezo cha kucha kimenikosesha mke na cha r.
I was expecting to see comment,ndo mada zako pendwa
 
Wa mtaani,kanisani,chuoni,kazini na kwenye magari kote amechagua akakosa ndo kaona aje kusagulasagula hizi fake IDs ndo zimfae...ukiona mtu mpaka kafikia kutafuta mtu wa kuishi nae maisha mitandaoni na bado ana masharti kama kazi za ukurugenzi kwenye mashirika ya mawasiliano ujue kuna tatizo tena kubwa sana,hili ni nung'aembe mkuu,wenye macho makali tushaona..

NB:Am married,i do this for fun.
Mkuu unanivunja mbavu, mawe unayorusha yana kilo nyingi sana.
Basi sawa tu mkuu.
 
Inachekesha pale unaposema unataka mwanaume(mume) wako asizidiwe na mtu maendeleo, hata Mzee Mengi au Mzee Bhakresa wamezidiwa na kijana Mohmed Dewji a.k.a MO. Huyo mume mwenye sifa zote hizo subiri ukifa na kufufuka tena ukiwa hauna dhambi utakutana nae mbinguni. Maana Yesu pekee ndio alikuwa tajiri wa roho kuliko yeyote hapa duniani. na alikuwa anauwezo wa kupata chochote hapa duniani kwa hivyo yeye ni tajiri hasa.
12 napenda sana competition sipend mme wangu azidiwe na wanaume wengine hasa kimaendeleo
 
Mwanamke unaandika cherehani ina afadhali...

Kuna kila dalili utamtawala huyo mumeo umtakaye (elimu ndogo tu ya saikolojia inaonesha hivyo)
 
Inachekesha pale unaposema unataka mwanaume(mume) wako asizidiwe na mtu maendeleo, hata Mzee Mengi au Mzee Bhakresa wamezidiwa na kijana Mohmed Dewji a.k.a MO. Huyo mume mwenye sifa zote hizo subiri ukifa na kufufuka tena ukiwa hauna dhambi utakutana nae mbinguni. Maana Yesu pekee ndio alikuwa tajiri wa roho kuliko yeyote hapa duniani. na alikuwa anauwezo wa kupata chochote hapa duniani kwa hivyo yeye ni tajiri hasa.
Haja chekesha tu... Ameushangaza uzi huu na hadhira kwa ujumla...

Ngoja nimpe shule huyu pengine hajui..

USHAURI: Mwanamke usi mlinganishe mwanaume wako na wanaume wengine... Period, naked truth.
 
Hii ndo Mwalimu Alex Kashasha huwa anaita Gain 4pain!!

Kimaisha wanawake wamegawanyika katika makundi manne!

1.Deluxe...hawa wanatokea Familia Bora(watoto wa matajiri) tangu utoto wao hawajui shida,wana viburi sana,hawajui kunyenyekea,hawana shida na pesa,wanapenda wanaume wenye madaraja ya juu na maisha kama yao Wengi wao hata wakiolewa huwa hawadumu kwenye ndoa zao...wanapenda Uhuru sana hawa,!!!....hawa huwa hawatafuti wanaume mtandaon,wala kutongoza wanaume unless walioshindikana au itokee zali la mentali.

2.Executive...watoto wa vigogo- viongozi,watawala na wenye vyeo( unakuta baba yake rais,gavana wa benki kuu,waziri mkuu,spika wa bunge,jaji mkuu,IGP,waziri n.k)..hawa huwa wanaanza mapenzi ukubwani na wakipata mwanaume huwa wanampenda mpaka wanatia Huruma..akipata mwanaume tuu..lazima aolewe fasta ilikulinda heshima ya Familia....hawa huwa wanapendwa na wanaume kutoka deluxe families (watoto wa matajiri) ama wa vigogo wenzao...Hawa huwezi kukutana nao mtandaoni kirahisi...ukimkuta ujue wazee wake washamshindwa!.

3.Classic...hawa ni wale waliojitengeneza...kupitia Elimu zao,kazi zao, urembo,kuvaa vizuri,kuhongwa,uzuri wa sura zao,umaarufu n.k(hawa ni wasumbufu hatari,wanaringa hadi wanatemea wanaume mate(ingawa siyo wote)...unakuta katokea kwenye shida lakini mtazamo wake kuhusu maisha ni kama anayakomoa,kila kitu kizuri anataka yeye,wanapenda starehe na maisha mazuri hata kuua wako tayari!!...mbele ya pesa kuuza uchi siyo ajabu...

......hawa huwa hawaolewi kirahisi....kila siku utamkuta na bwana mpya...kwao kila mwanaume anakasoro haishi kulaani na kuwalalamikia wanaume..(ila wanapenda ngono hawa!!!) Kwenye mapenzi hawanaga msimamo ...mtaani wamejaa Teleeee...mtandaoni ndo kwao kabisa...wanapost kila kitu....Leo akipost makalio ..kesho anapost mapaja.. Kesho kutwa utaskia natafta mwanaume wa maana!!!.a.k.a mwenye pesa... Hapa hata awe mchafu vipi ataitwa beibiiii...akishakuchuna ndo utaskia stori za viba100 na uchafu!!!..kwenye hili kundi hata utangaze 3MZUKA ya mabikira hupati!

4.Ordinary..... Hawa ni wale wanaotengenezwa na mazingira.. wametokea Familia za kawaida,maisha yao ya kawaida, Elimu zao za kawaida,awe na sura nzuri au mbaya kwake maisha ni simple "ha-complicate"wako tayari kuishi popote...huishi kwa tahadhari kwenye mapenzi,...hawa utatongoza miezi..hadi mwaka ndo anatoa mzigo.....ni waadilifu na waoga kuvunja Mila na desturi za jamii zao...hawa kuolewa kwao huwa ni kugusa.. Awe mjini au kijijini lazima ataolewa tuu....wahivi mtandaoni huwezi kuwakuta... Ni adimu sana!!(ni washamba wa Mitandao)
Kwenye hili kundi unaeza kuokoteza mabikira wachache wa dawa!

Bada ya uchambuzi kidogo naomba niwatahadharishe:" mleta mada ni mwanamke classic hafai kuoa,ila kwa burudani anafaa sana!!
Wapenda starehe changamkieni frusa.....
 
Inna, inaonekana wewe ni perfectionist, hilo ndio litakugharimu maana itabidi upate perfectionist mwenzako na kwa maana hiyo hamtawezana maana kila mmoja ni perfect.

Vv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom