Amekuomba umfanyie? Na je unamfanyia huku akiwa anajua unamfanyia kwa sababu gani??Katika viumbe ambao hawana shukrani duniani basi ni mwanamke!, hata umfanyie vipi kesho tu wema wako wa jana unasahaulika na kupigwa vita!.
hahah! Mkuu huruma si malezi sio!!.Amekuomba umfanyie? Na je unamfanyia huku akiwa anajua unamfanyia kwa sababu gani??
We ukiona unajitoa sana na hupati kile unahitaji piga chini.
endelea kutafuta...yani unategemeabupate ajifabkwankuandika maneno mawili
Kwaiyo tatizo sio mwanamke, tatizo ni mwanaume. Kwamba mwanaume ana intention nzuri lakini mwanamke ni opportunistic lakini mwenye shida ni mwanaume. Ni lini wanawake mtakubali accountability kwa kusema kwamba nyie ni tatizo?Kwan vitabu vya dini vinasemaje kuhusu wanawake?
Mbona kizaz hiki mnalalamika sana kuhusu ndoa na wanawake
Hebu kaeni na wazee wenu baba zenu wawape busara za kuishi na wanawake sio Kila siku kelele tu
Ivi baba yako angekua analalamika ivi kama ww ungekuwepo Sasa ivi
Kama ulivyoamua weweMnalalamika sana, inafikia hatua mnaamua kuwa wenyewe kwa wenyewe.
Lol
Alijaribu,nikaponyoka kama nyoka vile!!Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake ππππ
Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao kama mume mtarajiwa baada ya hapo unaweka mahari.
Angalia sana sasa una mtoa kwao na kumpeleka kwako
Anakula pesa zako Unapambana usiku na mchana ili ale vizuri na kuvaa vizuri. Anazaa mtoto awe wakike au wakiume anakuja kuimba nani kama mama
Lakini pamoja na yote haya uyu unayemlea na kumtunza ndo atakuwa Jaribu lako la kwanza. Atapambana usiku na mchana kushusha thamani yako ili akumiliki vizuri uwe bwege, taila, tatatu lolokwa
Ili apate kukuendesha kama rimoti
nime mention ID ya mtu hapo mkuu, kuna mtu humu anaitwa Natafuta Ajira naielewa sana michango yake kwenye haya mambo ndio maana nikamuita.endelea kutafuta...yani unategemeabupate ajifabkwankuandika maneno mawili