Huyu ndio MwanaJf anayeongoza Kwa kunukuliwa hapa JF

kuna kichwa kinaitwa msomso achana nacho ningekuwa krb ningemshauri mama ampe u RS
 
Gentamycine Ni mtu Mwenye hasira za haraka,
Anatukana hovyo akichalenjiwa,
Anapenda kujisifu Sana,
Kwa maneno kama hayo uloyatumia kumsifu,
Angalia mada zake kadhaa utakuta maneno kama charismatic,akili kubwa,game changer na maneno kama akili ya kesho.
Hupenda Sana kujiita Yeye Ni Mnyarwanda,hupenda kuwasifu Waisrael kwa akili,na,kuwafananisha wanyarwanda kuwa Wana akili kama Waisrael.
Gentamycine huwapenda Waisrael,na hata avater yake kaweka picha ya Benjamin Netanyahu ambae Ni PM was Israel.

Lakini pia Israel Kuna vyama vya Siasa kadhaa,kimoja kinaitwa Kadima party na kingine kinaitwa Likud party ambalo ndio jina lako wewe mtoa mada ambae umeleta mada "ILIYOTUKUKA" juu ya
Akili kubwa Gentamycine.

Hallelujah!
 
Case Closed unafaa sana kwenye Forensic Investigation.
 
Simply genius analysis.
 
Back
Top Bottom