Huyu ndio MwanaJf anayeongoza Kwa kunukuliwa hapa JF

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,111
27,093
Tunabishana na washikaji eti ni member yupi wa Jf anaongoza Kwa kukotiwa hapa jamvini kila akianzisha thread?

Mimi Kwa maoni yangu nasema memba WA Jf anae ongoza Kwa kukotiwa hapa jamvini ni mtaalamu wa kuandika nyuzi zilizo chambuliwa na kudadavuliwa kitaalamu ambae si mwingine bali MTU mzima GENTAMYCINE the charismatic and the game changer , the akili kubwa, the akili ya Kesho, you name it.

Huyu mkuu ndio anaongoza Kwa kukotiwa hapa Jf.

Jamaa kila akianzisha Uzi lazima akotiwe zaidi ya mara arobaini.

Memba gani mwingine hapa Jf unadhani anaweza kuwa anakotiwa kama GENTAMYCINE?

Tiririka
 
Back
Top Bottom