Huyu ndio MwanaJf anayeongoza Kwa kunukuliwa hapa JF

Simply genius analysis.
Hakuna lolote mkuu nitakeni radhi kunifananisha Na huyo MTU. Lengo la Uzi ili Ni kusema jamaa ndio anaongoza Kwa KUKOTIWA Yani Kutiwa. Kila akianzisha Uzi anatiwa
 
Gentamycine Ni mtu Mwenye hasira za haraka,
Anatukana hovyo akichalenjiwa,
Anapenda kujisifu Sana,
Kwa maneno kama hayo uloyatumia kumsifu,
Angalia mada zake kadhaa utakuta maneno kama charismatic,akili kubwa,game changer na maneno kama akili ya kesho.
Hupenda Sana kujiita Yeye Ni Mnyarwanda,hupenda kuwasifu Waisrael kwa akili,na,kuwafananisha wanyarwanda kuwa Wana akili kama Waisrael.
Gentamycine huwapenda Waisrael,na hata avater yake kaweka picha ya Benjamin Netanyahu ambae Ni PM was Israel.

Lakini pia Israel Kuna vyama vya Siasa kadhaa,kimoja kinaitwa Kadima party na kingine kinaitwa Likud party ambalo ndio jina lako wewe mtoa mada ambae umeleta mada "ILIYOTUKUKA" juu ya
Akili kubwa Gentamycine.

Hallelujah!
We jamaa ni akili kubwa sana kumbe jamaa limeanzisha nyuzi kujisifia.Yaani umejamba afu ukajifunika shuka

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Tunabishana na washikaji eti ni member yupi wa Jf anaongoza Kwa kukotiwa hapa jamvini kila akianzisha thread?

Mimi Kwa maoni yangu nasema memba WA Jf anae ongoza Kwa kukotiwa hapa jamvini ni mtaalamu wa kuandika nyuzi zilizo chambuliwa na kudadavuliwa kitaalamu ambae si mwingine bali MTU mzima GENTAMYCINE the charismatic and the game changer , the akili kubwa, the akili ya Kesho, you name it.

Huyu mkuu ndio anaongoza Kwa kukotiwa hapa Jf.

Jamaa kila akianzisha Uzi lazima akotiwe zaidi ya mara arobaini.

Memba gani mwingine hapa Jf unadhani anaweza kuwa anakotiwa kama GENTAMYCINE?

Tiririka
Na wewe ni mpiga debe wake na unaongoza pia kwa kupiga debe, eti?
 
Back
Top Bottom