Habari wana jf..mm c
mwenyeji saanaa wa jf lakini ni mwenyeji pia kwa sababu huwa napenda
sana kutembelea hii tovuti na kuchangia mada inaponibidi, kwahiyo kama
niliivyoandika hapo juu c mgeni hapa..
Niendelee tuu kwa kusema kuwa nimekua na mpnzi wangu ambaye tumedumu kwa
zaidi ya miaka mi3 sasa tunaheshimiana kwa hilo nashukuru..kwa kawaida
ndani ya huo muda wa miaka hiyo hatujawahi kuwa na ugomvi ambao
ukapelekea penzi letu kuisha, la hasha!! Lakini kuna matatizo ambayo
huninyima raha kama binti nnaejitambua na kujielewa,, kwanza mpnzi wangu
*hajui kuCare, namanisha huwa hashitushwi na matatzo yangu tena madogo
tu
*hawezi kunibembeleza; kama binti kuna muda nafeel kufanywa kama mtt na
mpnz wangu..lakini hakuna hicho kitu sasa cjui hawezi au ananifanyia mm,
cjui
*kitandani c mjuzi saana anajitahidi lakin wapii
*hana wivu na mm; hata anikute nakiss na man (french kiss) nikimwambia
just a friend huwa haniulizi twice (huu mfano tuu)
*hana tabia ya kukaa na mm na kuongea kuhusu mambo yajayo kimaisha
(future) ki2 ambacho kinaniumiza saana naishije na mtu ambaye hajui hata
kesho yake???
*ku-spend zaidi ya uwezo just like ponda mali kufa kwaja
*hana support ya maana hata kwa jambo la maana kwetu sote.......!!
Wapendwa nimechka kuandika..ila please naombeni ushauri wenu msinituc,
kunikejeli na kudhihaki..mnishauri ni sahihi kuendelea kuwa nae au
nianzishe ukurasa mpya wa kwangu binafsi??nampenda ila naweza kuishi
bila yeye.
Karibuni....