"Messi aliniuliza kama nataka kupiga penati mimi, nikamwambia hapana ningependa wewe upige ukamilishe HAT TRICK. Alimpa mpira Louis Suarez na kusema kuwa Suarez anahitaji kupata uzoefu zaidi". -Philipe Coutinho.
Moja ya vitu navyokubali toka huyu jamaa ni tabia ya kutojiona star,anajiina kama mchezaji wa kawaida,sasa yule mviziaji anaweza kuichukia hata familia yako
Ushawahi kuwasikia akina Sanchez na Pedro kuhusu uyo Messi wakiwa vyumba vya kubadilishia nguo?kwa sasa Coutinho acha amsifie tu ila siku akiondoka ndio ataeleza upande wa pili wa uyo mnaemuita mpole wapo wengi wameondoka kisa uyo jamaa kutowataka.

Hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama King Messi, na hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka kama King Messi, ila sijajuwa baadhi ya mashabiki wa hapa bongo wanamchukia..WHY!!!!!!

Hiyo kusema hakuna mchezaji bora kuwahi kutokea kama messi ni wewe mtazamo wako lakini tupo wengne tunaona anazidiwa na hata wa zama zake achilia mbali wakongwe kama kina Pele na Maradona halafu kusema hakuna mchezaji mwenye roho nzuri kama Messi unamaanisha au umeandika tu?
Sio kwamba huyo Messi tunamchukia hapana ila mnampa sifa nyingi hata asizo stahili mara katoka sayari nyingne mara yeye ndio king wa soka mara binadamu mwenye roho nzuri kuwahi kutokea halafu akikosa tuzo yoyote mnakimbilia wanamfanyia figisu na akichukua yeye basi hapo mnaona sawa kabisa mbadilike nyie wanazi wa Messi tumechoka sifa zenu za kijinga wakati mpira tunauona wote