Huyu ndio Magufuli

Akaongoze wamasai wenzie atuachie nchi yetu tutamchagua raisi tunaemtaka sio raisi kivuli
 
Hata wamasai hawezi,ndio maana wamejazada hapa Dar pasipo kuwa na kazi
 
Baada ya miaka 54, hakuna nafasi nyingine ya kudanganya watu kwa maneno ya kutunga kama haya. CCM mlichoshindwa kukifanya kwa miaka 54, mtawezaje kukifanya kwa miaka mitano ijayo????? HATUDANGANYIKI TENA!!!!!! CCM OUT! Hakuna namna nyingine!!!!!!!


Imekudanganya
nini lofa we

uliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania ukadhania serikali itakuletea chakula ukiwa unacheza pool?
 
Sumaye na Lowassa wamejilimbikizia mali zisizo na kipimo na kwamba wamekosa Uzalendo na sifa ya utumishi uliotukuka..ni Wazembe na walafi-Warioba
 

Kama Alishindwa Kututendea Haki Watu Wa Nzega Kata Ya Itilo Ambapo Mashamba Yetu Aliyatwaa Kwa Fidia Ya Mita Skwea Moja Ya Ardhi Kwa Sh. Mia Moja Hamsini Mwaka 2013. Tulizunguka Sana Kutafuta Haki Hadi Ofisini Kwake Na Hata Kumwandikia Barua. Hadi Leo Hajajibu, Kama Alishindwa Kwenye Uwaziri Akiwa Rais Atawezaje?
 

Huyu "ndiye"... sio "ndio".. kiswahili cha darasa la nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…