Huyu ndio Magufuli

Lazima ccm ife kwanza ndio wananchi wapate mabadiliko wanayoyataka
Mabadiliko na Lowasa? Umechanganyikiwa bana. Kwenda huko hakuna mapya na fisadi mkuu wa nchi hii. Kamwe Ikulu si ya majizi na wafanyabiashara. Viva Magufuli ingia Ikulu ukomeshe mafisadi wanahaha!
 
Hivi huyu Magufuli anasemaje kuhusu katiba mpya(ile ya wananchi)
 
Ajawahi kutuambia kama atafuata katiba Iliyochakachuliwa na CCM au atafuata ili Katiba ya maoni ya wananchi. Kwani kwa sasa naona ni mtu anaeropoka tu kwani hayo anayoyazungumza kamwe hawezi kuyatekeleza kupitia katiba mbovu iliyopitishwa na maCCM
 
Magufuli wa Libya... no sorry wa Iraq or nooo wa Kuwait...!!!

Kweli huyo ndie Mapadlocks
 
Ajawahi kutuambia kama atafuata katiba Iliyochakachuliwa na CCM au atafuata ili Katiba ya maoni ya wananchi. Kwani kwa sasa naona ni mtu anaeropoka tu kwani hayo anayoyazungumza kamwe hawezi kuyatekeleza kupitia katiba mbovu iliyopitishwa na maCCM
Kwanini Mwl. Nyerere kwa kutumia hiyo hiyo katiba aliweza kufanya mazuri tena wakati huo ilikuwa haijafanyiwa mabadiliko makubwa 1984?
 

SAFI SANA MWANDISHI, Magufuli ndiye haswa rais wetu.
 
Kiongozi mwenye kujituma, mwadilifu na anayetambua kie watanzania wanachohitaji.
 

Hii personality ya Magufuli ndo inawafanya wazembe na wezi wote kukimbilia UKAWA..na bado
 
sasa anatuelezea uzembe na udhaifu wa CCM wakati na yeye mwenyewe alikua katika system. binafsi namuona magufuli anaongea kama mpinzani na anaivua nguo serikali ya CCM

Wewe kweli ni K for life. Hivi unadhani mtu akiwa ccm ndo hawezi kukosoa chamachake? Fikra potofu za chadema ndo zilimuondoa Marehemu Chacha Wangwe na ZZK
 
Baada ya miaka 54, hakuna nafasi nyingine ya kudanganya watu kwa maneno ya kutunga kama haya. CCM mlichoshindwa kukifanya kwa miaka 54, mtawezaje kukifanya kwa miaka mitano ijayo????? HATUDANGANYIKI TENA!!!!!! CCM OUT! Hakuna namna nyingine!!!!!!!

Maoni yako mwenyewe
 

Hili ndio mafisadi hawataki kulisikia maana wao upendeleo ndio utamaduni wao. Wapo huko watu walipokuwa mawaziri wakuu kuna idara za serikali zilijaa watu wa kabila moja na walipoulizwa walitetea hao ndio waliosoma. CHADEMA ni kirusi kibaya kuliko HIV!!!!!
 
Tokea 1977 mpaka 2015 Inatosha. ....
Tusilee usultani, ufalme wa vyama.

Siyo usultani, ufalme wa vyama tu, .. ni hata wa koo. Koo zile zile zinapokezana vijiti.. za akina Makamba, Karume, Sita, Mwinyi, NNauye, Kikwete, ..
 
Magufuli ni sawa na mtoto ambaye anataka awapangie sheria baba na mama waliomzaa ndani ya ccm ki2 ambacho hakiwezekani kwa kweli

LOWA SASA naye amekulia kwenye familia ya akina magufuli hatufai
 
Magufuli ni sawa na mtoto ambaye anataka awapangie sheria baba na mama waliomzaa ndani ya ccm ki2 ambacho hakiwezekani kwa kweli

Inawezekana Mkuu endapo mtoto ana hela kuliko wazazi mbona kila atakalosema itakua sheria
 
Watz tumezoea kupinga hata km ni jambo zuri tuache utamadun wa namna hii hautatusaidia mi nadhani ni jambo zuri kwa manufaa ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…