Magufuli ni sawa na mtoto ambaye anataka awapangie sheria baba na mama waliomzaa ndanj ya ccm ki2 ambacho hakiwezekani kwa kweli
sasa anatuelezea uzembe na udhaifu wa CCM wakati na yeye mwenyewe alikua katika system. binafsi namuona magufuli anaongea kama mpinzani na anaivua nguo serikali ya CCM
HUYU NDIO MAGUFULI:
"Uwajibikaji ndio suluhisho la wazembe,nitajenga utamaduni mpya wa uwajibikaji,kutakuwa hakuna kusamehana,kubebana wala kujuana.Nitaimarisha mfumo mzima wa utumishi wa umma ili kuiwezesha serikali kuwatumikia wananchi lakini pia kurahisisha utoaji adhabu kwa watakaozembea badala ya kulindana na kuunda tume na kamati zisizo na tija"
sasa anatuelezea uzembe na udhaifu wa CCM wakati na yeye mwenyewe alikua katika system. binafsi namuona magufuli anaongea kama mpinzani na anaivua nguo serikali ya CCM
Magufuli ni sawa na mtoto ambaye anataka awapangie sheria baba na mama waliomzaa ndani ya ccm ki2 ambacho hakiwezekani kwa kweli