Nimepata picha kidogo kuwa Raisi wa Jamhuri hatakuwa na mamlaka ya moja kwa moja kuingilia utendaji kiutawala wa nchi husika???? Labda lakini mpaka katiba ibadilike yeye anaendelea na libeneke ya kufilisi unaona hiyo???Labda bunge lijadili matumizi yasiyokuwa ya maana ya Raisi, ili wamfunge luku kila akihitaji kusafiri apresent request apate approval vinginevyo wapige kura ya kutokuwa na imani na Raisi wa kufilisi nchi!!!