Huyu ndio hakimu bora wa muda wote Duniani

Huyu ndio hakimu bora wa muda wote Duniani

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,536
Reaction score
3,883
Image may contain: 1 person, smiling

Hii ni picha ya hakimu katika jimbo la Ohio nchini Marekani anayeitwa Michael Scott. Hakimu huyu amevuta hisia za watu kutokana na hukumu anazozitoa dhidi ya wahalifu wanaokwenda kinyume na sheria kwa mujibu wa makosa yao.

Aliwahukumu watu 7 wapande miti 70 baada ya watu hao kukata miti katika eneo la umma na kuiuza kama kuni.

Alimhukumu kijana kuhudumu katika nyumba ya wazee kwa muda wa miezi miwili baada ya kijana huyo kumpiga mzee.

Alimhukumu mlevi mmoja kuwalisha chakula paka katika bustani moja ya wanyama kwa muda wa miezi miwili baada ya mtu huyo kumuweka paka wake katika oven.

Alimhukumu mwizi mmoja kusimama mbele ya duka aliloiba kwa muda wa wiki mbili akiwa amebeba bango lililoandikwa: “Wizi ni mbaya”.

Alimhukumu daktari mmoja kutoa mihadhara (lectures) ya bure katika vyuo mbalimbali kwa muda wa miezi 6 kuhusu madhara ya ulevi baada ya daktari huyo kukamatwa akiendesha gari akiwa amelewa.
 
Kuhukumu ni jambo moja ila je sheria zetu zinaelekeza hukumu hizo?

Au modds mnasemaje?
 
We jamaa ni mpuuzi sana, hivi unajielewa??

Jiwe ni nani??
Jibu hili swali kama akili japo zimesalia kwenye hilo fuvu
Mjinga kweli nikisema msukule sijakosea si unaona umeshindwa kuficha upumbavu wako Nani kakuulia jiwe ni Nani? Au ulivyo Ni qoute Kuna swali nimeuliza jiwe ni Nani?
 
Hizo hukumu ziko.kwenye vitabu vya sheria au alikuwa akizitunga tu kichwani kwake?

Mimi namuona huyo hakimu mjinga tu sababu hizo hukumu.haziko kwenye vitabu vya sheria popote duniani
Umeshasoma sheria za Amerika zote au unajitia tu ujuha
Usifikiri sheria zenu za hapo bongo ndio zinafanana na dunia nzima
 
Back
Top Bottom