Huyu ndio Habib Mchange

Kama tungekuwa na nchi inayopambana na rushwa, kwa sasa Habib Mchange anekuwa amefunguliwa mashtaka na kuburuzwa mahakamani. Lakini kwa nchi hii rushwa ni halali kwa watu fulani kisheria kama Habib and et al.
 
Mnafahamika kwa Jina la Masalia mtu upotea wakati wakwenda siyo kurudi:confused2:
 
Huyo ndo anayelalamika kuonewa, je mamilioni hayo aliyapata wapi? Jamani sisi vijana tusipoangalia tutatumbukia kubaya zaidi kuliko walikotumbukia ccm. Sasa mchange alitaka apate uongozi kwa kununua kama njugu? Binafsi naunga mkono kuongeza umri wa kugombea urais,maana kwa makandokando haya ni aibu na hatari kwa taifa letu.
 

Gazeti hili limekuwa kielelezo kizuri sana. Hongera sana kamanda kwa kulileta hapa jamvini.
 
Na hapo ujue kuwa Mchange parse asingeweza kumiliki pesa za kuchezea namna hiyo- thats alizipata somewhere!

Mchange angepata wapi hela hizo wakati anakiri kuwa hata kwenye mikutano yao ya usaliti ni Ben saaNane aliyekuwa 'fogo' wao anayeclear bili za konyag?

So kutapanya hela hizi ni nani aliyemfadhili-?
Angezirudishaje?
 
Ila kweli mwisho wa ubaya aibu! Nimeona busara moja ktk uongozi wa juu wa Chadema,,ni siku nyingi sana Zitto Kabwe anatajwa kuwa ndumilakuwili lkn hawakuwahi kuwa na haraka ya kushughulika nae zaidi ya kukaa tu kimya leo mambo yamejileta yenyewe! Ukiangalia post za mwampamba na mchange ni utetezi wa dhahiri dhidi ya Zitto
 
Zitto na Kafulila siasa bado sana!! Nadhani inferiority compex inawasumbua...
 
nimegundua hata chacha wangwe kifo chake ni dhulma kwasababu ukitaka kumpinga mh mbowe lazima utaambiwa ww ni pandikizi la ccm tuacheni cuf tupumue

cuf na boko haram damu damu kama g-string na msamba!
 
Hivi unadhani kwa staili hii Zitto ndio anakuja kuwa Rahisi si ndio yale yale ya kupena vyeo kishkaji na kuendelea? Makundi hayajengi na sio vizuri kiongozi mkubwa ukajionyesha uegemevu wako wa upande kisiasa kwani hali hubadilika.

Na hivi kwanini kila siku watu wakuhisi wewe tuuuuuu?
 

Mfadhili mkuu nadhani ni Kalumanzila!!
 
hata mimi nimeamini CDM si chama cha siasa tu bali ni chuo cha mafunzo ya uongozi bora.

Nafikiri mungu ameweka mkono wake sababu watanzania maskini tutakimbilia wapi endapo CDM ikipukutika? mambo yote kweupee peee Vilio vya watanzania hivi - Chezea nguvu za mungu wewe.
 
Narudia tena Zitto na kundi lake ni saratani ndani yan Chadema, atimuliwe mbali aende kwa JK akampe kazi nyingine lakini si kuivuruga Chadema.
 

jibu ni CCM ili kuvuruga chama.
njia ya mwongo ni fupi kwelikweli!
 
...senema hii inavutia kwelikweli, waliojipanga kuibomoa chadema wameishia kujiboma wenyewe...anguko baya sana hili kwa wanasiasa vijana

Yani hadi raha mwanangu, zamani style hii iliitwa ujanja mfukoni. Sasa cdm huu ndo wakti mwafaka wa kusafisha nyumba yenu, piga chini wanafiki wote hata mkibaki wawili poa mradi heshima ya cdm ibakie intact
Hapa kitakachowapa tofauti na magamba ni kuchukua hatua haraka. Piga chini watu hata kama kina damu zao humo who cares. Eti damu na mwangosi asemeje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…