Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,432
- 7,965
Huu ndio mwili wa firauni ambae umehidhiwa katka nchi ya Misri "Je wajua" firauni ndio mtu pekee ambaye hajaoza hadi leo wala haguswi na mdudu aina yoyote na ndio mtu pekee aliyekuwa anajifanya jabali mbele ya mungu"