Huyu ndio demu wa staa anayependa kukaa uchi!

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,446
chicharito.jpg
LONDON,
England: MR EMBO Sarah Kohan ambaye ni mpenzi wa straika wa West Ham, Javier Hernandez ‘Chicharito’, amepiga picha akiwa uchi huku akiinadi mimba yake mpya.

Sarah ameshaeleza mara kadhaa kwamba kukaa uchi ndiyo furaha yake kubwa maishani. Sarah, 24, mwenye wafuasi milioni 1.3 kwenye Insta, amekuwa akitoka na Chicharito tangu mwaka jana, na tayari ameshanasa ujauzito ambao unaelezwa ni wa mwezi mmoja.

chi.jpg

Raia huyo wa Australia ni msomi akiwa ni mhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Harvard. Sarah amekuwa akisisitiza kwamba kuwa uchi ni moja ya vitu anavyopenda zaidi maishani.

u2HAaBE.jpg

Hernandez ambaye ameifungia West Ham mabao matano katika michezo 16 aliyoichezea timu hiyo msimu huu, inaelezwa yupo mbioni kuondoka klabuni hapo mwezi huu huku Barcelona ikitajwa kumhitaji.
 
Hamna kitu ulichofanya kuficha uchi wake wakati keshasema anapenda kukaa uchi?ungeuacha uchi wake na sie tuuone na wako ungebaki nao mwnyw
 
Ndo maana chicharito kaaanguka sana toka man u,R madrid hadi west hamn daah
 
Back
Top Bottom