barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Picha huongea mara elfu zaidi ya maneno.Kwa kutazama picha hii,basi tutapata jibu ni nani wa kukamatwa na kushitakiwa kuhusu Wafanyakazi wasio na kibali pale Quality Group!
Hata kama Manji angakuwa bado ni CEO wa QUALITY GROUP,bado asingahusika moja kwa moja,sababu angekuwa "anachungulia" kwa mbali,kama ilivyo Billicanas na Freeman Mbowe.
Tunasubiri kesho hao Uhamiaji,watuambie huyo Manji anahusikaje na hao wafanyakazi "batili" wa QG
Walisema:Kila uchwao,kituko kipya huzaliwa Afrika.