aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 775
- 1,117
Kiongozi wa wazanzibar 40000 anayeyaongoza mapambano ya kuipigania Zanzibar dhidi ya Muungano wa kidhalimu ndani ya Mahakama ya haki ya Africa Mashariki akiwa katika hali ngumu ya kiafya baada ya kuwasilisha na kukubaliwa kwa ombi la kuaghirishwa kwa siku hiyo kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,
Rashid Salum Adiy aliondoka mjini Zanzibar na kuingia mjini Arusha kwa ujasiri mkubwa akiwa na kiwango cha damu asilimia 6.5 ndani ya mwilini mwake kuliko sababishwa na tatizo la pressure na kupasuka kwa mishipa ya damu puwani akiwa mjini Mombasa siku 15 kabla ya tarehe 7 November 2019 Pamoja na ushauri wa daktari kumzuwia asisafiri yeye hakukubali kwani kutokufika mahakamani kwa Agent wa kisheria kutokana na kuwekwa ndani na Rashid asingelikwenda Mahakamani kesi ya Muungano ingelikuwa ndio mwisho wake,
Hivyo Rashid alikubali afe mbele ya Mahakama ila kesi ya Muungano iendelee kuwepo mbele ya Mahakama