huyu ndie mgabe bwana

haya maneno kayasema kweli?? duh kama ndio basi kampatia kweli??
 
hiki kiumbe ndio kinachotakiwa kuishi afrika pamoja na sie..
 
Hii story imezunguka sana mitandaoni lakini si ya kweli. Ilianzia kwenye blogs za wanaijeria.
Angesema hivyo kweli, angekuwa anajitukana tu, kwa vile mwanaume muoaji na muolewa wote ni "Gays". Ushoga ni kufanywa na kufanya kwa watu wa jinsia moja, na Comrade Mugabe asingeweza kujitukana eti amuoe Obama.
 

Umeielewa hiyo kauli yake lkn?
 
Pesa ya Uganda imeshuka thamani.. Ooops...! wadhungu wanatuendesha sana. I hate em.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…