Different colour one peopleAliitwa Lucky Philip dube, jina la lucky alipewa jina Hilo na mama yake baada ya mimba zake nyingi kuharibika.
Alianza Muziki tangi akiwa mdogo
Mwanamuziki WA reggae nchini Afrika kusini kuwahi kuuza mauzo makubwa ya Album zake
"Album yake ya Prisoner Ni Album bora zaidi kuwahi kuuzwa miaka ya 1980/90.
Ameigiza movie kama vile "GETTING LUCKY", LUCKY STRIKES na VOICE IN THE DARK.
Mkewe aliitwa zenele na alizaa nae watoto Saba
Kanuni za maisha yake Ni kama ifuatavyo, Hakuwahi kuvuta Bangi maisha yake yote,
Wala bangi wala kilevi chochote katika maisha yake yote na alifanya hivo ili aweze kuwa Baba bora kwa watoto wake na vijana kwa jumla
Alipinga Sana ubaguzi WA rangi vita na uhalifu wowote.
Aliuliwa huko Johannesburg katika kitongoji cha Rosettenville jion ya tarehe 18/oct/2007, na wauji katika tukio Hilo walifungwa maisha.
Baba WA taifa Hilo Nelson Mandela Ni mmoja WA watu maarufu waliohudhuria mazishi yake.View attachment 481578 View attachment 481579
Hapa ndipo ambapo ma rasta wengi huwa wanamuonaga snitch,zipo evidence za wazi zilikuwa zinaonyesha kuwa jamaa alikuwa anapiga mmea sasa kitendo cha kukataa kuwa hajawahi vuta bangi wakati amewahi(kwa mujibu wa jamaa zake wa karibu) kinamfanya yeye aonekane rasta mnafikiHata kwa bunduki, siamini kwamba alikuwa hatumii bangi, wala pombe....
Hapo bado hujanidanganya
Mimi pia Ni rasta lakin sio mtumiaji wa bangi wala sigara? ILA kinywaji napiga,Hapa ndipo ambapo ma rasta wengi huwa wanamuonaga snitch,zipo evidence za wazi zilikuwa zinaonyesha kuwa jamaa alikuwa anapiga mmea sasa kitendo cha kukataa kuwa hajawahi vuta bangi wakati amewahi(kwa mujibu wa jamaa zake wa karibu) kinamfanya yeye aonekane rasta mnafiki
i know that kwamba hupaswi kupiga mmea au kufuga dread ili uwe true rasa,but hiyo ni kwa mujibu wa watu wake wa karibuMimi pia Ni rasta lakin sio mtumiaji wa bangi wala sigara? ILA kinywaji napiga,
That's means sio kila rasta lazima avute au kunywa atii
Ofcourse yes,They have to prove that, and not hearsay evidence
Jamaa ni typically snitchHapa ndipo ambapo ma rasta wengi huwa wanamuonaga snitch,zipo evidence za wazi zilikuwa zinaonyesha kuwa jamaa alikuwa anapiga mmea sasa kitendo cha kukataa kuwa hajawahi vuta bangi wakati amewahi(kwa mujibu wa jamaa zake wa karibu) kinamfanya yeye aonekane rasta mnafiki