Huyu naye ananza mwaka mpya na digitali...

Huyu naye ananza mwaka mpya na digitali...

Mimi hakuna vitu vinavonishangaza kama vya nchi yetu ya Tanzania, wanaanzisha vitu ilihali wanajua utekelezaji wake ni mgumu sana.Mimi nakuambia sitanunua king'amuzi chochote ntaendelea kutumia antenae yangu mpaka mwisho maana Tanzania kila kitu ni porojo hiyo tarehe 31/12 wanayosema kuwa ni mwisho wa Analogia ni uwongo mtupu. Kumbuka line za simu, kumbuka vitambulisho ambavo wakazi wa Dar walijipanga kuandikishwa kwenye jua kali yoye hayo hakuna kilichotekelezwa kwa wakati
 
Back
Top Bottom