Huyu Nape anajisahau sana kama mheshimiwa mbunge

Alianzia kubwata maeneo ya Morocco alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama. Akaita press conference alafu akaongea pumba hakuna hata point moja aliyosema zaidi ya waandishi "kumpump" afunguke ili kesho wauze gazeti.
Haikutosha Suala la Lissu halikumpita nyuma akabwata eti Mara ooh wewe Nape mi mjomba wako kwanini usije huku sijui Mara gari jeupe.

Pia jimboni kwake huko akaiponda nchi eti watu wanaishi kwa mashaka Roma katekwa, Saanane katekwa, Lissu kapigwa bastola. Tena na kujitamba nipo nchini mwangu lazima niwe huru.

My friend Nape remember you are honourable member of the parliament , you need to talk polite language and not panic anywhere.

Kumbuka Wewe ndo ulimpindua mbunge wa mpinzani ukachukua Jimbo wewe, Pia uliwaambia wapinzani tutashinda urais hata kwa bao la mkono. Wewe Pia ukasema mlikaa porini kutafuta ushindi sasa sijui kwa sangoma?

Kati ya zote alama mbaya uliyowaachia wapinzani ni kufunga bunge ukidai TBC inaelemewa kwa gharama za urushaji mubashara. Ikiwa ulisapoti bunge lisirushwe mubashara huku ukijua uraiani hasa wa Jimbo lako unawanyima uhuru wa habari ambapo leo umekuwa kinyonga unadai nchi haina uhuru wa kuongea.

Je, unasema hayo uyasemayo ya uhuru wa habari yanatoka moyoni Au ndo hasira za uwaziri?
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg
Tatizo si Nape tu,tatizo ni watoto wa Viongozi vigogo hujiona nao ni viongozi automaticaly,kana kwamba kuongoza wananchi ni urithi na ni haki yao.
Sasa huyo dogo bado anazo chembechembe za dharau,majivuno,na kiburi.
Ndio maanake alikuwa akiwakashfu wananchi alipokuwa bwana majungu mkuu wa chama yaani propagandist.
Mungu si Athmani,kaja kiongozi mwingine mwenye tafsiri mpya ya kiongozi,kapigwa chini,sasa anagwaya.
 
Alianzia kubwata maeneo ya Morocco alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama. Akaita press conference alafu akaongea pumba hakuna hata point moja aliyosema zaidi ya waandishi "kumpump" afunguke ili kesho wauze gazeti.
Haikutosha Suala la Lissu halikumpita nyuma akabwata eti Mara ooh wewe Nape mi mjomba wako kwanini usije huku sijui Mara gari jeupe.

Pia jimboni kwake huko akaiponda nchi eti watu wanaishi kwa mashaka Roma katekwa, Saanane katekwa, Lissu kapigwa bastola. Tena na kujitamba nipo nchini mwangu lazima niwe huru.

My friend Nape remember you are honourable member of the parliament , you need to talk polite language and not panic anywhere.

Kumbuka Wewe ndo ulimpindua mbunge wa mpinzani ukachukua Jimbo wewe, Pia uliwaambia wapinzani tutashinda urais hata kwa bao la mkono. Wewe Pia ukasema mlikaa porini kutafuta ushindi sasa sijui kwa sangoma?

Kati ya zote alama mbaya uliyowaachia wapinzani ni kufunga bunge ukidai TBC inaelemewa kwa gharama za urushaji mubashara. Ikiwa ulisapoti bunge lisirushwe mubashara huku ukijua uraiani hasa wa Jimbo lako unawanyima uhuru wa habari ambapo leo umekuwa kinyonga unadai nchi haina uhuru wa kuongea.

Je, unasema hayo uyasemayo ya uhuru wa habari yanatoka moyoni Au ndo hasira za uwaziri?
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg

kumbe walomyisha kwa bastola ni usalama kwa mujbu ya maelezo yako ,sasa njoo setro utupe maelezo ,tunavo jua ni mtu asie julikana-
 
Hivi nani mnafiki aliyesimamia msimamo wake mpaka akatimuliwa au aliyekaa kimya miaka 20 kwenye uwaziri leo anajifanya kuwa mzalendo?
 
Alianzia kubwata maeneo ya Morocco alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama. Akaita press conference alafu akaongea pumba hakuna hata point moja aliyosema zaidi ya waandishi "kumpump" afunguke ili kesho wauze gazeti.
Haikutosha Suala la Lissu halikumpita nyuma akabwata eti Mara ooh wewe Nape mi mjomba wako kwanini usije huku sijui Mara gari jeupe.

Pia jimboni kwake huko akaiponda nchi eti watu wanaishi kwa mashaka Roma katekwa, Saanane katekwa, Lissu kapigwa bastola. Tena na kujitamba nipo nchini mwangu lazima niwe huru.

My friend Nape remember you are honourable member of the parliament , you need to talk polite language and not panic anywhere.

Kumbuka Wewe ndo ulimpindua mbunge wa mpinzani ukachukua Jimbo wewe, Pia uliwaambia wapinzani tutashinda urais hata kwa bao la mkono. Wewe Pia ukasema mlikaa porini kutafuta ushindi sasa sijui kwa sangoma?

Kati ya zote alama mbaya uliyowaachia wapinzani ni kufunga bunge ukidai TBC inaelemewa kwa gharama za urushaji mubashara. Ikiwa ulisapoti bunge lisirushwe mubashara huku ukijua uraiani hasa wa Jimbo lako unawanyima uhuru wa habari ambapo leo umekuwa kinyonga unadai nchi haina uhuru wa kuongea.

Je, unasema hayo uyasemayo ya uhuru wa habari yanatoka moyoni Au ndo hasira za uwaziri?
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg
Inaonesha unahasira sana na wanaokosoa uovu,hebu Fanya mumtumie wasiojulikana enyi kizazi cha nyoka
 
Umesema alitishwa pistol na nani?
Mbona mmeshindwa kumsaidia Mwigulu, aweze walau kumtambua huyo mwana usalama?
 
oil inawekwa kwenye gari ikiwa safi,
kwa kadri gari inavyotembea maili nyingi
ndivyo oil inavyozidi kuchoka na kukaribia
kuwa oil chafu.
Asomaye na afahamu.
 
Alianzia kubwata maeneo ya Morocco alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama. Akaita press conference alafu akaongea pumba hakuna hata point moja aliyosema zaidi ya waandishi "kumpump" afunguke ili kesho wauze gazeti.
Haikutosha Suala la Lissu halikumpita nyuma akabwata eti Mara ooh wewe Nape mi mjomba wako kwanini usije huku sijui Mara gari jeupe.

Pia jimboni kwake huko akaiponda nchi eti watu wanaishi kwa mashaka Roma katekwa, Saanane katekwa, Lissu kapigwa bastola. Tena na kujitamba nipo nchini mwangu lazima niwe huru.

My friend Nape remember you are honourable member of the parliament , you need to talk polite language and not panic anywhere.

Kumbuka Wewe ndo ulimpindua mbunge wa mpinzani ukachukua Jimbo wewe, Pia uliwaambia wapinzani tutashinda urais hata kwa bao la mkono. Wewe Pia ukasema mlikaa porini kutafuta ushindi sasa sijui kwa sangoma?

Kati ya zote alama mbaya uliyowaachia wapinzani ni kufunga bunge ukidai TBC inaelemewa kwa gharama za urushaji mubashara. Ikiwa ulisapoti bunge lisirushwe mubashara huku ukijua uraiani hasa wa Jimbo lako unawanyima uhuru wa habari ambapo leo umekuwa kinyonga unadai nchi haina uhuru wa kuongea.

Je, unasema hayo uyasemayo ya uhuru wa habari yanatoka moyoni Au ndo hasira za uwaziri?
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg
Sasa Roma hakutekwa?, Beni sa8 nae je?, vipi kuhusu Lisu, hamukumchapa lisasi za kutosha?? Muacheni Nape atapike Nyongo, nyie Lumumba vp?
 
Why anaiponda sasa hivi zamani kila kitu ndio hata Kama sio sahihi. my friend acha ushabiki we are need straight statement
Kila dini kuna hatua ya kukamilika kiroho ili uwe mfuasi wa kweli..mfano waislam kuna kuslim..wakristo wana kubatizwa..
Naamanisha unaweza fanya makosa lkn ukitubu Kwa Mungu tunaamini anasamehe na unafunguliwa ukurasa mwingine..
Kwenye biblia kuna mtume anaitwa paulo..uyo alikua mtesi mkubwa wa ukristo...lkn baadae kajuta na kubatizwa na ndio msingi wa ukristo npaka leo
 
Sh

Sheria ya haki ya habari ambayo Nape aliitetea sana bungeni leo hii tunaona magazeti yanafungiwa kila kukicha!.
Sheria gani aliitetea ya kutunyima bunge live? Wapinzani ndo wakitaka uhuru WA habari walimpinga akawagomea et Leo kaungana nao. Dunia zunguka uyaone
 
Sasa Roma hakutekwa?, Beni sa8 nae je?, vipi kuhusu Lisu, hamukumchapa lisasi za kutosha?? Muacheni Nape atapike Nyongo, nyie Lumumba vp?
Nape anasema ukweli ndio. Lakini huo ukweli una tija Au ndo unafiki mana nyuma alipokuwa chomboni hatukumsikia akasema haya
 
Back
Top Bottom