Huyu Nape anajisahau sana kama mheshimiwa mbunge

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,211
Alianzia kubwata maeneo ya Morocco alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama. Akaita press conference alafu akaongea pumba hakuna hata point moja aliyosema zaidi ya waandishi "kumpump" afunguke ili kesho wauze gazeti.
Haikutosha Suala la Lissu halikumpita nyuma akabwata eti Mara ooh wewe Nape mi mjomba wako kwanini usije huku sijui Mara gari jeupe.

Pia jimboni kwake huko akaiponda nchi eti watu wanaishi kwa mashaka Roma katekwa, Saanane katekwa, Lissu kapigwa bastola. Tena na kujitamba nipo nchini mwangu lazima niwe huru.

My friend Nape remember you are honourable member of the parliament , you need to talk polite language and not panic anywhere.

Kumbuka Wewe ndo ulimpindua mbunge wa mpinzani ukachukua Jimbo wewe, Pia uliwaambia wapinzani tutashinda urais hata kwa bao la mkono. Wewe Pia ukasema mlikaa porini kutafuta ushindi sasa sijui kwa sangoma?

Kati ya zote alama mbaya uliyowaachia wapinzani ni kufunga bunge ukidai TBC inaelemewa kwa gharama za urushaji mubashara. Ikiwa ulisapoti bunge lisirushwe mubashara huku ukijua uraiani hasa wa Jimbo lako unawanyima uhuru wa habari ambapo leo umekuwa kinyonga unadai nchi haina uhuru wa kuongea.

Je, unasema hayo uyasemayo ya uhuru wa habari yanatoka moyoni Au ndo hasira za uwaziri?
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg
 
Tatizo la nape aliona kama serikali yote inamwogopa,mpaka akawa anataka rais WA nchi ufuate anavyotaka yeye.akawa anataka kumfundisha kazi rais juu ya suala la makonda.nadhani hana hekima ndio sababu anaropoka ropoka hovyo.anajidanganya sana mwisho wake atalia peke yake.alikua anamshambulia rowasa bila nidhamu aliookua ccm.
 
Sio anamfundisha Nape pekee ndio ccm aliyebaki mwenye uwezo wa kumwambia rais "hapa umekosea" nyie wengine wote huku ni mazombie grade one msio na aibu hata kidogo
 
Tatizo la nape aliona kama serikali yote inamwogopa,mpaka akawa anataka rais WA nchi ufuate anavyotaka yeye.akawa anataka kumfundisha kazi rais juu ya suala la makonda.nadhani hana hekima ndio sababu anaropoka ropoka hovyo.anajidanganya sana mwisho wake atalia peke yake.alikua anamshambulia rowasa bila nidhamu aliookua ccm.
Hivi kutimiza wajibu wake kama Waziri ndio kumpangia Rais anachotaka?
 
Kwanini usiseme Magufuli anahasira zisizoisha?
Nape aliyataka mwenyewe...alibip akapigiwa alidhani ni serikali ya zaman iliyokuwa ikiishiwa credit. Hii iko full ukibip unapigiwa on the spot. Kikubwa aache hasira atulie lakini hii style ya kuongeaongea haimsaidii.

Kama ni kinyago alichonga mwenyewe afu leo kinamnyima usingizi?
 
Back
Top Bottom