Huyu Nape anajisahau sana kama mheshimiwa mbunge

Sh
Nape aliyataka mwenyewe...alibip akapigiwa alidhani ni serikali ya zaman iliyokuwa ikiishiwa credit. Hii iko full ukibip unapigiwa on the spot. Kikubwa aache hasira atulie lakini hii style ya kuongeaongea haimsaidii.

Kama ni kinyago alichonga mwenyewe afu leo kinamnyima usingizi?

Sheria ya haki ya habari ambayo Nape aliitetea sana bungeni leo hii tunaona magazeti yanafungiwa kila kukicha!.
 
Nape aliyataka mwenyewe...alibip akapigiwa alidhani ni serikali ya zaman iliyokuwa ikiishiwa credit. Hii iko full ukibip unapigiwa on the spot. Kikubwa aache hasira atulie lakini hii style ya kuongeaongea haimsaidii.

Kama ni kinyago alichonga mwenyewe afu leo kinamnyima usingizi?
Kinyago cha chato hakimsumbui Nape
 
Kwani kuwa mbunge ndiyo kumzuia kusema ukweli?

Nahisi ameanza kujitambua,maana mwanzo alipokuwa asingeweza kuyasema haya maneno.

Hata mawaziri walioko madarakani, si kwamba hawayaoni yanayoendelea. Ila tu, watasemea wapi hali ya kuwa wamo ndani ya mfumo?
 
Nape miaka 5 ya mwisho kaishi kwa kudekezwa sana kila enzi na kitabu chake
 
alipoatimuliwa uwaziri hadi akatishiwa pisto na usalama.
c402336368e363ad5b096c7656bb9869.jpg

Kwa hiyo unasema waliomtisha nape bastola walikua ni kina nan!!??
Cc: Mwigulu
 
Kwani kuwa mbunge ndiyo kumzuia kusema ukweli?

Nahisi ameanza kujitambua,maana mwanzo alipokuwa asingeweza kuyasema haya maneno.

Hata mawaziri walioko madarakani, si kwamba hawayaoni yanayoendelea. Ila tu, watasemea wapi hali ya kuwa wamo ndani ya mfumo?
Basi hautufai nchini Kama unashindwa kusema ukweli kisa unaogopa kufukuzwa. Unasubiri utumbuliwe ndo uanzwe kuuongea pumba. Nape akaongea pumba tu
 
Let him speak his mind...ni haki yake na sheria inamruhusu kufanya hivyo! Hata kama ni wewe unyang'anywe tonge mdomoni bila kuwepo sababu za msingi lazima utachanganyikiwa tu! Kama anayoyaongea hayaliingizi Taifa kwenye machafuko..kwa nini asiseme sasa!
 
Sasa hayo ya ukweli angesema kipindi yupo kwenye system. Na sio sasa anatupigia kelele
 
Rafiki jua kitu kimoja ktk siasa.
ADUI WA ADUI YAKO NI RAFIKI YAKO
HAKUNA RAFIKI WA KUDUMU WALA ADUI WA KUDUMU
 
Naona wale jamaa walio kuja na tafiti kua kila watanzania wanne mmoja ni kichaa na dhani takwimu hizi kwa sasa zimesha badililika kwa sasa itakua kila watanzania watatu mmoja ni kichaa
Huyu muanzisha mada naamini kua atakua anaishi mirembe na kichaa chronic
 
Back
Top Bottom