Huyu my number one simuelewi

Huyu my number one simuelewi

Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.

Hata sasa huyo mwanamke ni mzuri sana tu. Ninachokiona huyo mwanamke yuko committed ila wewe ndio unazuga, yaani uko mguu ndani mguu nje.
Kinachotakiwa mkae chini muongelee aina ya mahusiano yenu. Inawezekana mwenzako anakuona mchumba, wewe unamuona ni rafiki tu wakupita.

Kama huyo mwanamke yupo humu na anasoma huu uzi, namshauri na yeye aishi kama vile mpita njia (aegeshe), asione kwamba amepata a man of her life.
 
na mimi hiyo inanikuta my number one imekua tatizo
 
Je mwanaume wa jinsi hiyo inakuwaje jamani?!? Mwenye tabia kama za huyo number one wa mleta uzi.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
wanawake wa namna hiyo huwa wanapenda kweli sio utani na wanajali sana waume zao ila kasoro yao ni kwamba hawawez kuvumilia shida especially ya kifedha na upendo wao unakuwa ni too much mpaka unajuta kwa nn ulitongoza!!!!!!

mkuu kuna kaukweli hapo.
 
Daah yaan anakupenda kichiz yaan, mm mwenyewe natafuta kama huyo yaan ful malovedove daaah

nampa uhuru wa kutosha lakini ananipa wasiwasi naweza nikamkabidhi moyo wangu baadaye akaja kunigeuka nikajuta.
 
umepata mwanamke wa ukweli,yaani anakuonea wivu??ujue basi anakupenda kweli,ila usiwe unamuahidi vitu ambavyo huwezi kutekeleza
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.
 
Yaani ni rahisi sanaaaaaaa. Ila sasa hadi uwe na huo muda, saa ingine ukute huyu mdau anamchukulia kama kwa kuzugia tu si unajua vijana.

hapana nampenda sana ila aniamini sijui akipiga simu nikichelewa kupokea inakuwa kesi.
 
duh huyo wako ss yupo kama boy wangu..yan hao wangekua pamoja wangepatana kwel..mana ye mda wote anataka nikae na cm ..had choon..nkidelay kujibu text au cal yake anaanzisha valangat hlo..

ni kweli naenjoy na huyu my number one akiniuzi nikikasirika anatamani kulia anajuta, nampenda na sita mwacha kikubwa nitafanyia kazi ushauri nipa wadau.
 
umepata mwanamke wa ukweli,yaani anakuonea wivu??ujue basi anakupenda kweli,ila usiwe unamuahidi vitu ambavyo huwezi kutekeleza

asante mkuu, nitajitaidi kuwa makini hapo?
 
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.

huyo Mwanamke ni mfupi? kama ndio bas niulize dawa yao
 
Hata sasa huyo mwanamke ni mzuri sana tu. Ninachokiona huyo mwanamke yuko committed ila wewe ndio unazuga, yaani uko mguu ndani mguu nje.
Kinachotakiwa mkae chini muongelee aina ya mahusiano yenu. Inawezekana mwenzako anakuona mchumba, wewe unamuona ni rafiki tu wakupita.

Kama huyo mwanamke yupo humu na anasoma huu uzi, namshauri na yeye aishi kama vile mpita njia (aegeshe), asione kwamba amepata a man of her life.

Daah! Hii kiboko! Ni kweli unachosema Dada yangu. Unajua sisi men saa nyingine tunakuwa kwenye relationship kusikilixia upepo. Kama hunishawishi nasepa vilevile!
 
Back
Top Bottom