BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.