Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,164
- 6,325
Anaitwa Nathaniel Hinge. Alikuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili mwanzoni mwa miaka ya tisini. Nyimbo zake zilikuwa na mguso wa kipekee. Sijamsikia siku nyingi, na sijui yupo wapi kwa sasa na anafanya nini?
Yeyote anaefahamu habari zake anitaarifu tafadhali
Yeyote anaefahamu habari zake anitaarifu tafadhali