Hebu njoo pm nikushauriMshauri Bibie afanye nini
Story yako yakutunga nzur mana hujui unataka nn wengine wanatafuta kupendwa we unatoa kik ,aya" nashindwa kumuelewa huyu mwanaume... Kitabia ni mpole he's caring like too much, nimewahi kumkosea lakini hajawahi kuonesha kisirani/kinyongo... Ndo kwanza kazidisha mapenzi. kila muda huyu hapa , hanipi hata nafasi niMmissi khaaa..
mwanaume sijawahi mfumania hata siku moja!!! Yaani akitoka job moja kwa moja nyumbani anapenda mpira ila haendagi kuangalia nje Na marafiki ye ni wahapahapa tuu..." Hivi ni nimfanye nini huyu mwanaume awe Kama wengine.
Alisikika mama mmoja akiomba ushauri.
Kwa kweli asee...Dah!!! aisee hii ni shida, kuwajua wanawake!!!
Sijawahi kujua mnataka nini!! nilikuwa na mpango wa kuingia kwenye hii shida ila ngoja nivute pumzi kwanza!!!Kwa kweli asee...
Angekuwa hafanyi hivyo pengine tena angekuja kulalamika. Mbona huyo ndo mzuri.
Ili mradi anakupenda kwa dhati. Hamna shida.
Wengine wanamwomba wampate Kama huyo.
sio wote lakini. ni baadhiSijawahi kujua mnataka nini!! nilikuwa na mpango wa kuingia kwenye hii shida ila ngoja nivute pumzi kwanza!!!
Yaani mtu hajawahi kumfumania mme wake ankuja kulalamika!!!!! Au pengine vidole vinawasha nini!!!
Asiwe anachepuka saana, ila kidogo tu kuongeza mapenzi kwake. Sasa mtu hata hujawahi kumfumania huna hata chembe ya wasiwasi nae huwezi kumpenda zaidi unamchukulia ize tuu. Anipe changamoto kidogo nizidi kumpendaSijawahi kujua mnataka nini!! nilikuwa na mpango wa kuingia kwenye hii shida ila ngoja nivute pumzi kwanza!!!
Yaani mtu hajawahi kumfumania mme wake ankuja kulalamika!!!!! Au pengine vidole vinawasha nini!!!
Au huyu mwanamama alitegemea kukutana na mawazo ya kumsifia kwa kumjali mme wake sasa ameona huko kitaa hawamsifii ameamua kuja kucheza na akili za watu humu!!!sio wote lakini. ni baadhi