Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Kimila au kikwetu mwanamke kama wewe hapandi gari Mshi'kaji (jirani mmbeya) kwa kuwa umejirahisiha sana hadi kuwa wawili kwenye gari ndo aliropoka!!!Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,
Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
Nadhani umemuelewa vibaya huyo shemegi yako ila suali lake ni zuri sana. Inawezekana ukahisi kama ameingilia uhuru wa maisha yako na mume wako lakini ukiangalia upande wa pili jee ije kutokea kweli umejipangaje? Kama kawaida zetu mume akifa wajomba na mashangazi ndio wenye kugombania mali za urithi kama wao wamesaidia kuipata hio mali. Nilivyomfahamu mie huyo Shemegi yako anajaribu kukwambia utafute kazi ili hata likija tatizo uweze kulikabili kirahisi kwenye maisha yako. Pia kabla hujamwambia mumeo kwanza muulize huyo shemegi yako akufahamishe nini amekusudia hata akakuuliza hilo suali.Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,
Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
HIVI FORM THREE "C" MNAFUNGUA LINI SHULE.Hamjambo wandugu,

Avatar yako nimecheka sanaIli kumkomesha shem beba mimba tuone mbwembwe zake
Asante rafiki angu wako wavulana na msichana,nilijitahidi kuzuia hii pea ya tatu sijui kilitokea nini[emoji85]hao mapacha ni same or different sexes... Aisee hongera. Umejaliwa.
as for that shem of yours ... usimwambie mmeo maana inasaund kama jamaa anamuombea kifo. Ila mkanye asiingilie tena affairs zako.. On the contrary anaweza akawa yupo concerned tu kwani maisha magumu.
Huyo kichaa anakusumbua mpaka unaamua kuleta uzi?Hamjambo wandugu,
Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida yoyote,
Tuna marafiki wa familia ambao nirafiki wa mume wangu mimi niliwafahamu baada yakuolewa,toka nikiolewa huyu mwanaume (rafiki)sikua namuelewa anavyoniangalia.
Nilihisi jambo sikutaka kuwaza ubaya nilipotezea tu.sasa Leo asubuhi amemsindikiza mume wangu anasafiri tukiwa njiani tunarudi akasimamisha gari na kuniuliza kama nnampango wakuendelea kuzaa,nilishtuka maana nijambo la ndani sana,nikamwambia ikiingia sitoi.kisha nikamuuliza kwani vip shem?ndio alipofunguka kuwa watoto 6 ni wengi sana mume wako akifa nani atakuoa ?
Sikumjibu kitu zaidi ya kumuomba anipeleke nyumbani,najiuliza sana haya yametoka wapi?nimwambie mume wangu?ninyamaze?nifanyeje mwenzenu sielewi!msaada
Nimezaa mara tatu uncle wanakuja wawili wawiliSamahani yaani umejifungua mara tatu ,kila ukijifungua ni mapacha tu ?? au mara mbili lakini Triplets ?Hapo ndio palipo nivutia huko kwingine ni swala la kawaida tu uzuri uwe na msimamo sisi wanaume ni viumbe vya aina yake
Aisee mbona hatujawahi omba msaada na tunamaisha yakuweza kuwatunza?mtu akisema idadi kubwa anakua mmoja wa maamuzi ya watu?uzazi wa mpango ni upi hapo kwetu?tumezaa mara tatu,anyway asante kwa ushauriAtakuwa anakupa 'friendly advice au ushuri wa kisehemeji'... Na maisha haya yalivyo tait yani nyie bado nyota ya kijani ya uzazi wa mpango hamuioni? Kama ni kweli una watoto sita ni bora ukafungwe kizazi kwa welfare ya familia yako...
Mh!we mropokaji hebu soma tena usikurupuke.sina hata sababu ya kujirahisisha nitofautishe na wadada wa kwenu,soma vizuri ujue unachokisema ,kama we nimwanaume dooh,kajifunze kutumia akili,kama mwanamke chunga huo mdomo utaachikaKimila au kikwetu mwanamke kama wewe hapandi gari Mshi'kaji (jirani mmbeya) kwa kuwa umejirahisiha sana hadi kuwa wawili kwenye gari ndo aliropoka!!!
Mezea tu kama unavyomeza kohozi... Jitunze!!
Wote niwafanya kazi na wajasiriamali wala sina wasiwasi wala hatuna matatizo kiasi cha mtu kutombea shida ya kifo,hata akianguka kesho nauhakika na hali nilionayo,nimeshangaa best anyway asante kunishauriNadhani umemuelewa vibaya huyo shemegi yako ila suali lake ni zuri sana. Inawezekana ukahisi kama ameingilia uhuru wa maisha yako na mume wako lakini ukiangalia upande wa pili jee ije kutokea kweli umejipangaje? Kama kawaida zetu mume akifa wajomba na mashangazi ndio wenye kugombania mali za urithi kama wao wamesaidia kuipata hio mali. Nilivyomfahamu mie huyo Shemegi yako anajaribu kukwambia utafute kazi ili hata likija tatizo uweze kulikabili kirahisi kwenye maisha yako. Pia kabla hujamwambia mumeo kwanza muulize huyo shemegi yako akufahamishe nini amekusudia hata akakuuliza hilo suali.
Aisee hongera mama ,Mungu kakupa kizaziNimezaa mara tatu uncle wanakuja wawili wawili
Asante best,naona nikaembali nae kama walivyoshauri pale juu,Kwa kuwa amakuuliza straight forward basi inawezekana huwa wana maongezi ya namna hii sana na mumeo sema kaona mumeo sio msikivu,akahamia kwako na anaweza akawa ana lengo la kukusaidia familia yenu sema ukaona anakutaka,maana sio kawaida akuambie mambo ya ndani hivyo, jaribu kumdadisi, sikushauri swala la kumchongea kwa mumeo.
Asante mwaya[emoji120]Mpotezee,muombee mumeo uzima na maisha marefu kwa Mungu
Sijalalamikia idadi hata sehemu moja,nawapenda na ninawafurahia,ila boy ukitoa mimba hata moja au kama ulishamtoa msichana nakuombea Mungu asikupe mtoto hata wakubeba jina ili ujue uzito wa unayowaza6 ni wengi mno au una mpango wa kufungua shule yako binafsi ambayo itakuwa na watoto wako pekee wakisoma hapo?. Karne hii sio nzuri kwa kuzaa sana, unajiongezea stress za maisha mbeleni!. Natania aisee, ikiingia usitoe!!!!