Msaidie jinsi ya kupanga matumizi yake yaendane na mapato. Muambie since mnashirikishana hali ngumu ya uchumi, muambie hata wewe mapato yako hayatoshi inabidi ujipange ndo upate ziada ya kumpa na yeye.
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.
amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.

Ha ha ha ha ha ha!we manka linapokuja suala la kusaidiana unamuona rafiki yako anakudistab?kweli wanawake wa kichaga kiboko.
Habar zenu wana jf..
Kuna kitu kinantatiza kuna jamaa mmja, ambae ni rafiki yangu tu wa kawaida..sasa amekuwa na tabia ambazo sizipendi naona hata nivunje urafiki wetu..yy anafanya kaz bank ya mikopo af ni hb mbayaa aliwahi ntokea nkamkataa kutokana na jinsi alivyo nahis atakuwa anashobokewa cna na mabint.
amekuwa na tabia ya kunieleza cna .matatizo hasa ya kipesa na nimekuwa nkimsaidia kma nina weza.nimefahamiana nae ni kama miezi 6 tuu imepita nlishamsaidia mara 2juzi aliniomba nimsaidie alikwama nkamwambia sipo vuzuri realy alinidistabu sana sikupenda.
Siku zikakatuka jana tena kanipigia ooh nina shida na wee ntakuonaje nkamwambia nkiwa free ntakutafuta..
Wadau huyu mtu mnafikiri nimfanyaje kwa hii tabia yake ya kunieleza matatizo yake inhali me ni rafiki yake tu.
huu ndio ukweli.mankaa u r falling in love watch out...
au unampenda ila unaona noma tu kumwambia angalia tusijeona manyoa...
Anavutia kwa mwanamke yyte lakn cjamfill hata kidog