M Mzee Uchwara Senior Member Joined Oct 28, 2013 Posts 119 Reaction score 35 Dec 12, 2013 #41 Ila ukumbuke hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume lazima tu mtatongozana tu kwa hiyo ni mwanamke kupima na kutafakari, tatizo dada zetu wengi hamfanyi hivo.
Ila ukumbuke hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume lazima tu mtatongozana tu kwa hiyo ni mwanamke kupima na kutafakari, tatizo dada zetu wengi hamfanyi hivo.
SUZANE JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 740 Reaction score 502 Dec 12, 2013 #42 Mwanamke msimamo dia!! Jenga heshima yako, usikubali ng'oo!!! Akishalamba papuchi atalala mbele kutafuta mwingine....
Mwanamke msimamo dia!! Jenga heshima yako, usikubali ng'oo!!! Akishalamba papuchi atalala mbele kutafuta mwingine....
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Dec 12, 2013 #43 Sijajua kama hii ni taarifa au ni kitu gani Unalalamikia huyo jamaa kuvunja urafiki wenu au nini? Au unalalamikia huyo jamaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
Sijajua kama hii ni taarifa au ni kitu gani Unalalamikia huyo jamaa kuvunja urafiki wenu au nini? Au unalalamikia huyo jamaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,157 Reaction score 12,938 Dec 12, 2013 #44 Mtu mwenyewe Broken soul Hutaki mtu wa kukusaidia kumend hiyo Broken soul? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,485 Dec 12, 2013 #45 We mpatie mzigo jamaa ajishindie maana uzuri wa dude lile hata kama wamepita 50 haioneshi idadi ya waliotumia
We mpatie mzigo jamaa ajishindie maana uzuri wa dude lile hata kama wamepita 50 haioneshi idadi ya waliotumia
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,630 Reaction score 19,016 Dec 12, 2013 #46 najaribu kukushauri lakini nashindwa....