Huyu mwanamke unaweza kuishi nae kweli?

mama yangu alishawahi kuniambia kuna wanawake walio pooza kucha!! ndio haoooo, utakuta ndio wanaume zao wanawaruka ukuta wao bado wametulia tu, tena wanaona kupendwa ndio huku! wanaletewa watoto ndani ya ndoa wao wanashukuru Mungu!!

Inahitaji moyo sana!! mimi sijapooza kucha like that!!
 
Ahame nyumba kwa maana aachane na mkewe hata baada ya kusamehewa mara ya pili alipofumaniwa?
Ndio maana yake maana huyo mama siku uvumilivu ukimshinda atamuua au atafanya madhara makubwa sana.
 
mama yangu alishawahi kuniambia kuna wanawake walio pooza kucha!! ndio haoooo, utakuta ndio wanaume zao wanawaruka ukuta wao bado wametulia tu, tena wanaona kupendwa ndio huku! wanaletewa watoto ndani ya ndoa wao wanashukuru Mungu!!

Inahitaji moyo sana!! mimi sijapooza kucha like that!!
Hujapooza kucha! Una uhakika?
 
Tatizo mwanaume hashikiki wala hagusiki achilia mbali hachungiki.ukijiendekeza unaweza fariki kwa presha kisa mtu m1 tu ulokutana naye ukubwani.huyo mama ameyashika vizuri mafundisho ya somoe wake.unakuwa mpole,siku ambayo haijui unachemsha maji unazipika kengele zake
 
ndio maana nikasema jamaa aondoke mapema, siku huyo mama ataamka vibaya ammwagie maji ya moto kama anavyosema firstlady.
 
Mmmmmh, huyu mama ana moyo, ila ninaamini kabisa dawa huyo baba inapikwa.
Ikiiva atajuta kuzaliwa mwanaume. Bora mtu anayeongea kuliko anayeliacha moyoni na kulitafakari mchana na usiku.
Badilika mzee wa watu, hasira ya mwanamke usiiichezeeeeeeeeeeee!!!!
 
44184_1633795123142_1184587446_31785368_2158313_n.jpg
 
huyo anataka kukufunza kisaikorojia hvyo cha msing acha kuwa kicheche wa kijinga sawa
 
huyo anataka kukufunza kisaikorojia hvyo cha msing acha kuwa kicheche wa kijinga sawa

Umeona eee wanawake wengine kama watume vile wa ndoa. Yaani wako so perfect mpaka unasema huyu mumewe anahangaika nini? hilo la kukaa kimya ni funzo tosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom