Huyu mwanamke simwelewi

Germany Bundesliga kwa hewa, Dortmund kapiga mtu 4 - 0, unachelewa nini na unakwama wapi kumuita Grace(covid-20) ukampiga 4 halafu umpige kibuti maana ashakupotezea muda na hela, wahi sasa hujachelewa kutizama Bundesliga huku ukichukua tahadhari dhidi ya Corona.
 
Tafuta mwingine apo kakuweka kama spare tyre tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupenda upofu mkuu napata wasiwasi kbs ila nakosa nguvu ya kutoka nahitaji external force ya kunikwamua maoni ya wadau yamenipa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo hana mpango na wewe yuko kwako kwa mikakat yake binafsi uliponichekesha uliposema ndugu msomaj had Leo hajanunua line
nimecheka kishenz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mwanamke cyo wako. Wewe ndo una plan za kumuweka ndani ila yeye hana plani hizo. Ulikua umelenga huyu tu mkuu? Hama chap.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, heri uyajue / umjue kabla hujaweka ndani.. ndoa zetu hasa Sisi wa dini ya kikristo Huwa ngumu sana sana kuvunja..

Kumbuka unachagua mtu utakayeishi nae pengine ktk kipindi chote cha maisha yako.. choose wisely, follow your heart, but take your brain with you.

Kila la kheir mkuu, ndoa ni jambo jema sana kama ukilipatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mwanamke cyo wako. Wewe ndo una plan za kumuweka ndani ila yeye hana plani hizo. Ulikua umelenga huyu tu mkuu? Hama chap.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuw nae mwingine niliyemtegemea zaidi ila bahati mbaya nilikuwa kwenye long distance relationship,kwa wasiwasi wa kuwa huenda nampotezea muda akakubali kuolewa na mtu mwingine nikabaki na milupo tuu ambayo hata haifai kuweka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo na Grace hapa Dsm tunafunua na kufunika kipochi manyoya ngoja nimwambie akupigie simu kwa laini yangu ya halotel maana hela zote ashanionga
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…