Huyu mwanamke simwelewi

Huyo mwanamke unayaelewa matendo yake vizuri tu, ila akili yako haitaki kukubali ukweli kuwa huyo mwanamke hakupendi na hakutaki

Hlf inaonekana hutongozi wadada wengi, hata kama unatongoza, bhas wote unaowatongoza wanakukataa Last KING Ontuzu
Zamani nilikuwa baharia mzuri tuu lakini kwa sasa nimetulia kabisa mpk najishangaa na nahitaji yawe ndo maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anakupotezea muda,kwa ishara tu huyo hana sifa ya kuitwa mke mtumie kama mlupo tu. Andaa tour ya kutafuta mke nchi nzima, utafanikiwa.
 
Mwambie kuna mwanakwaya anakutongoza na yuko tayari kukuzalia mapacha 6.
 
Reactions: RR
Karibu nachingwea .au ruangwa naimani na si kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…