Naomba kwanza neno kusaliti tulitendee haki,naamini kusalitiwa ni kuwa kwenye ndoa au
ni wachumba na uloe wa kuwa umeishamtolea mtu mahari,vinginevyo mabinti hawarizishwi na hii habari ya ahadi kila siku ahadi mara tutaoana mwaka kesho
wakati huna sababu ya msingi unayoitoa,hivyo anaona unampotezea muda au anaogopa miaka ikienda utasema amezeeka,anakuaga anaolewa.binafsi sioni kama huo ni usaliti