Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
Wasalaam wana jukwaa.
Ni matumaini yangu mko poa mnaendelea na mishe za maisha
Embu kwa pamoja tushirikiane kwenye kamkasa aka,,,katika pita pita zangu jijini apa nikabahatika kukutana na binti mmoja mzaliwa wa mkoa huu,,,kama kawaida tukaanza taratibu na hatimae tukakubaliana kuwa wapenzi, ( to be honest,,i miss gf and br life maana i have almost 7 month not into it,) nilifurahi angalau nimempata wa kusaidia majukum ya apa na pale ukizingatia naishi mwenyewe.
Uyu binti ni mrembo, rangi zangu zile, mambo ya rock city ndo usiseme (kitonga) ila tatizo likawa moja kuonana, kila nikifanya arrangement tuonane anaonekana kupata dharura, nimepanga zaidi ya mara tatu anapangua, last time ikabidi nimfate mimi ndo nikapata walau wasaha wa kuongea nae.
Kinachonifanya niwashirikishe mkasa ni tabia yake ambapo kwa usiku tunaweza kuongea hata usiku kucha mpaka nakwazika ila mchana ukimpigia simu kupokea ni bahati yako siku iyo, ikifika saa 4 usiku na kuendelea mnajiachia, ukimuuliza kwanini anasema anakuwa bize na shughuli za nyumbani (amemaliza chuo hajapata kazi bado), kuna wakati nahisi ana mahusiano mengine labda lakini nikifatilia trend ya matukio nashindwa kuelewa.
Anasisitiza kila siku kua ananipenda na anawish niwe mme wake and she even cry when i threatened her kuwa nitamuacha (sasa cjui analia ya kwenye simu ile tehe tehe).
Mchango na uzoefu wenu unahitajika