Huyu mwanamke simuelewi

Huyu mwanamke simuelewi

KIBONG'OTO

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji
 
Mkuu, nadhani ni kweli yuko njia panda kama alivyokuambia.
 
Ondoka mapema au kama vipi mtumie kingono ila usiwekeze moyo wako kimawazo utakesha.
Shauriro ukiona dalili kama hizo jaribu kutafuta hifadhi kwingine coz karibia unaenda kuumizwa.
 
Kaka hapo ni Code red tayari,hamisha mawazo yako kabisaaaa na tafuta pa kujihifadhi afu mchukulie poa.Kashakuacha huyo
 
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia anitafti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na ajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku ,wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji

kama ni mtoto wa chuo imekula kwako 100%
kama mtaani 50/50%
 
Inavyo onekana kuna mtu anamchanganya chamsingi mtumie kigono sana huku ukiendelea kufanya utaratibu wa kumtafuta mwengine utakae mpenda
 
Unataka msaada gani wakati umeshajibiwa mwenzako yuko njia panda?
Ni kwamba anao wengine kama wewe na bado hajachagua yupi ni yupi.Na siyo mpenzi wako,ni mpenzi wenu hata kama wenzako huwajui.Pole sana.
 
Ushauri mwingi ulishatolewa, ila hilo la kumtumia kingono achana nalo, kwa sasa tafakari na chukua hatua! Ukisubiri msaada wa watu wa Marekani utajuta!
 
Muulize yupo njia panda ya kuelekea wapi na wapi, jibu atakalolitoa ndio litakua hatma ya uhusiano wenu.
 
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? bado namhitaji

Iyo greenlight mdau,umeshapigwa kidude,changamka kuna mtu anamgegeda huyo wewe upo kwa ajili ya kuzuga tu,mwingine anapendwa
 
mie siwezi msema sana huyo mdada.

Kuna wakati mtu anaweza jikuta kwenye mahusiano yanayomwacha njia panda.

Labda wewe mkaka husomeki kwake, kwa hiyo kaingia mguu mmoja nje ndani?

Kuna vitu hakuelewi na wewe hujaamua kuviweka wazi?

Unaonekana kito.bi, so anakuwa na wasiwasi kujiachia kwako?

Ungemuuliza yuko njia panda kivipi?

Huko kutopokea simu zako ni 'defensive mechanism' inaweza kuwa njia ya kujifariji kwamba hujamwingia moyoni, still anaweza kuchunia simu zako na maisha yakaendelea. Lakini 'ukweli' yaweza kuwa kinyume chake.
 
Hapo mtoto kapata kamuzi hadi amechanganyikiwa na anapiga mbio kulidhibiti kamuzi litulie kwake na kuwa mali yake milele lakini hajafanikiwa jamaa anazingua sasa anavyogonga ukuta kule anakuja kujiliwaza kwako lakini angempata yule ungekuwa historia na akimkosa inabidi aendelee kusaka nondo nyingine inayokaribiakaribia hiyo anayofukuzia na hatatulia kwako tena. Wanakwambia mtumie kingono lakini mimi naona wewe ndiye unatumiwa
 
wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa sababu zisizo za msingi, mara nyingi mi ndo mpigaji sana wa simu na nikikaa kimya kuto kumpigia hanitafuti, kuna siku nilimuuliza bado ananipenda akanijibu yuko njia panda na hajielewi na muda mwingi simu yake inakuwa busy sana nikimpigia wakati wa usiku, wakuu naomba mnisaidie nifanyeje? Bado namhitaji

yupo njia panda bado mpo ktk epiq bongo star search, kama vipi mpotezee mpaka akutafute, but b4 u leave jiulize umemtendea nini mpaka akukumbuke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom